Wachezaji wa South Africa wamekataa posho zote za AFCON 2023

Wachezaji wa South Africa wamekataa posho zote za AFCON 2023

Kumbe timu nzima ya Taifa Afrika kusini ina wachezaji wa Mamelodi sundown ndio maana wanacheza kitimu haswa
Hapa bongo siasa Kwenye michezo ndiyo imetawala .
Kipindi Maximo anachukua wachezaji wengi wa yanga malalamiko yalitokea .
Na Hata sasa kocha alichagua Wengi yanga baadae zikaingia siasa wakapunguzwa.
 
mkuu am sorry unawezaniambia source ya hii kitu? namm niitumie kwny reference zangu asantenaomba hata dm
Nimegusia mengi katika bandiko langu, unataka reference ya kipi hasa? Nimeongelea kuhusu kiwango cha zawadi cha AFCON, mkataba wa mgao kati ya wachezaji na SAFA, hadi dharau za mama yangu kule Muleba. Ingekuwa naandika kwa ajili ya kuwasilisha kwa Profesa wangu chuoni, ingebidi haya yote niyatolee references 😀😀😀😀😀
 
Okay namaanisha chanzo cha hii habari ni wapi?? Mm nimeipenda nataka niitumie
 
Itakuwa ni ukweli mkuu,
Jana nilisikiliza kwenye redio (U fm) wachambuzi walisema kama mleta mada.
Kama unaeza rejea hicho kipindi kwenye redio utasikiliza.
Shikrani japo mm sikupinga nimeipenda story ya kijana so impressed
 
Okay namaanisha chanzo cha hii habari ni wapi?? Mm nimeipenda nataka niitumie
Itumie tu nipe credit (Source: SAYVILLE, mwandishi mbobevu wa Jamii Forums 😎) na mimi nitambe mjini.

Mwanzoni kabisa mwa mashindano taarifa ya huu mkataba ilitoka, mengine yote uliyoyasoma nimetiririka mwenyewe na ilinichukua kama dakika 5 hivi. Ndiyo maana nikakuuliza unataka reference ya kipande kipi? Kuhusu kiwango cha zawadi za CAF nayo pia ilitangazwa kabla ya mashindano, ukisearch unaweza kutumia chanzo chochote kwa kipande hicho.
 
Back
Top Bottom