Mtu anachezea sijui mtibwa huko umwambie hakuna posho wakati kina mwijaku na baba levo umewapa posho mtaelewa wapi na wapi sasa?Hebu niambie kwa wachezaji wenu hawa hapa hawa, unaweza kufanya hivyo ulivyoandika hapo na mkaelewana kabisa..?.
Hapa bongo siasa Kwenye michezo ndiyo imetawala .Kumbe timu nzima ya Taifa Afrika kusini ina wachezaji wa Mamelodi sundown ndio maana wanacheza kitimu haswa
Nimegusia mengi katika bandiko langu, unataka reference ya kipi hasa? Nimeongelea kuhusu kiwango cha zawadi cha AFCON, mkataba wa mgao kati ya wachezaji na SAFA, hadi dharau za mama yangu kule Muleba. Ingekuwa naandika kwa ajili ya kuwasilisha kwa Profesa wangu chuoni, ingebidi haya yote niyatolee references πππππmkuu am sorry unawezaniambia source ya hii kitu? namm niitumie kwny reference zangu asantenaomba hata dm
Okay namaanisha chanzo cha hii habari ni wapi?? Mm nimeipenda nataka niitumieNimegusia mengi katika bandiko langu, unataka reference ya kipi hasa? Nimeongelea kuhusu kiwango cha zawadi cha AFCON, mkataba wa mgao kati ya wachezaji na SAFA, hadi dharau za mama yangu kule Muleba. Ingekuwa naandika kwa ajili ya kuwasilisha kwa Profesa wangu chuoni, ingebidi haya yote niyatolee references πππππ
Shikrani japo mm sikupinga nimeipenda story ya kijana so impressedItakuwa ni ukweli mkuu,
Jana nilisikiliza kwenye redio (U fm) wachambuzi walisema kama mleta mada.
Kama unaeza rejea hicho kipindi kwenye redio utasikiliza.
Itumie tu nipe credit (Source: SAYVILLE, mwandishi mbobevu wa Jamii Forums π) na mimi nitambe mjini.Okay namaanisha chanzo cha hii habari ni wapi?? Mm nimeipenda nataka niitumie