Wachezaji wa SSC Team-Work inawagharimu

Huyu ntu anaonekana kuwa na chukiness muombeeni kama inawezekana

Mimi ni Shabiki wa SSC kindakindani yaani ile piga ua afe kipa afe beki.

Lakini hizi sugarcoat ndio zinafanya team zetu hazifiki mbali . KUACHA kuongea UKWELI TUPU eti kisa watasema mimi sio SSC
Hakuna mpira wa inshallah inshallah au kuomba omba Mungu, hakuna icho kitu... mpira ni investment na maandalizi thabiti... mambo ya Mungu saidia tushinde ni uchimvi tu. Fanyeni maandalizi na timu yenye tija,

Tunatumia muda mwingi kuhamasisha na kujaza uwanja na kusumbua watu mitaani badala ya kuangalia changamoto za timu.

Leo hii eti inshallah tutafunga SA, ni uchimvi kabisa na hakuna hiko kitu. Yaani walichotufanya Asec , kule kwao ndio SSC itafanywa kwa madiba, hakuna namna ingine

Post za Jumapili utasikia tunajipanga upya, mpira unamatokeo matatu na Blah Blah nyingi. Ila ukweli ni kwamba SSC haina resistant kwa timu zinazoingia robo fainal
 
Ye
Yeboyebo kwenye ubora wenu,mmekalia kupiga ramli kama witch doctors eti simba atakalia goli mbili kabla ya Half time,Kwa Taarifa yako Orlando Pirate tunaenda kukomaa nae kama wa-libya walivyokomaa nae na kutoka 0Γ·0.Siye tunasogea nusu fainali
 
Wewe ndo unaona hivyo, iache iende inakotataka kwenda, hata ikisogea ni hatua pia, siyo lazima ifike mwisho
 
Ndio akili za kimbumbumbu za kushikiwa na MO hizi,yaani ushinde kwako moja bila then ukitoka ukienda ugenini unakula hamsa halafu unafurahia.
 

Simba ipewe hongera zake kwa kucheza kwa kujitoa. Kwa kikosi Cha Simba chenye wachezaji average kimejitahidi Sana hata kuushinda hiyo mechi.
 
Pole , Umeumia kwa sababu nimeongea Ukweli Mchungu. MTAFUNGWA straightforwardly bila hata kutumia nguvu. Ninasema tena timu haijaandaliwa kimashindano ya mtoano

Tatizo unaongozwa na chuki. Lazima ujue Simba Ina average players, huwezi kutaka makubwa zaidi ambavyo wachezaji wanaweza kuoffer.
 

Acha uongo. Shabiki gani wa Simba unakosoa tu bila hata kutambua mchango wa wachezaji?. Kabla ya mechi Olrando walikuwa wanapewa nafasi kubwa ya kushinda maana kwenye makundi walifanya vizuri.
 
Ile siku katika uzi wako wa Simba hatovuka hapa nilikuuliza swali 'Bayern na Barca wana maoni gani juu ya hii kauli yako?'

Haukujibu.

Orlando amesuluhu michezo 12 katika ligi. Hii ni idadi kubwa ya suluhu kwa timu ambayo ina wachezaji wakali mbele na nyuma.

Mi sijaangalia mechi ila takwimu zinaonyesha Simba imeizidi Orlando kwenye pasi, mashuti mpaka kucreate chances na big chances.

Jamaa mmoja akaniambia hawa wamekuja kutafuta suluhu kwakua ni ngumu kuifunga Simba nyumbani mi nikamjibu hawa wanatafuta suluhu kwakua ndicho walichomaster. Huwezi kukuta timu nzuri inatafuta suluhu ugenini ni inakuchapa hapo kwenu na kwao ukienda. Stori za nitafute suluhu kwako ni za zamani.

Mimi siyo shabiki wa mpira wa nyumbani unless wacheze na timu ya nje kama hivi ila naamini sababu timu itakua haichezi kitimu ni kwavile kocha haachwi kumaliza project na watu wake.

Mchezaji anapambania mkataba atacheza ili aonekane na hii inapelekea huo uchoyo (kama upo) kocha anakosa muda wa kufundisha falsafa zake na mbinu zake na anaishia kutarget kuifunga Yanga tu.

Kimpira, Simba ana chance ya kusonga mbele.
 
FULL-TIME!

Martyrs of February Stadium, Tripoli
Al Ittihad SC πŸ‡±πŸ‡Ύ 0-0 πŸ‡±πŸ‡Ύ Al Ahli Tripoli

30 June Stadium, Cairo
Pyramids FC πŸ‡ͺπŸ‡¬ 0-0 πŸ‡¨πŸ‡© TP Mazembe

Borg El Arab Stadium, Alexandria
Al Masry SC πŸ‡ͺπŸ‡¬ 2-1 πŸ‡²πŸ‡¦ RS Berkane
[Amr Marei, Haithem Ayouni || Hamza Regragui]

Imejikuta timu zote hazijaandaliwa kwa Knock out
 
Topolo & Hater huwa sio ngumu kumjua
 
Simba πŸ‡ΉπŸ‡Ώ 1- 0 πŸ‡ΏπŸ‡¦ Orlando pirates

Haya matokea ya shirikisho mbona yamekuwa magumu hivi ?

Japo si vyema Sana kujilinganisha ila wanaokejeli ushindi wa Simba hawaitendei haki.
 
Point yako ni nzuri sema imejaa maumivu na wivu ndani yake ni Kama huamini ivi Kama Simba angetoka na matokeo maana mlishajiandaa kutuzomea.

Swala la Sacko viongozi wa Simba na bench wamkalishe chini yule dogo ,ubinafsi umezid na umevuka viwango ashajikuta mfalme pale Simba ,aambiwe yeye ni kajitu kadogo sna pale Simba, alikwepo Luis saiz hayupo na timu inasonga mbele.

Ni swala la kumpa ukweli ,acheze mpira aache sifa za kijinga
 
Simba πŸ‡ΉπŸ‡Ώ 1- 0 πŸ‡ΏπŸ‡¦ Orlando pirates

Haya matokea ya shirikisho mbona yamekuwa magumu hivi ?

Japo si vyema Sana kujilinganisha ila wanaokejeli ushindi wa Simba hawaitendei haki.
Kwa matokeo hayo kuisema Simba vbya ni kukosa nidhamu
 
Kaa kwa kutulia mzee tunajifunza kutokana na makosa
 
Najua wewe na team yako ni wageni kwenye michuano hii ya kimataifa, kwa kuzingatia hilo ngoja nikusaidie kitu;
Unaposikia robo fainali ya ccl au ccc usidhani ni ndondo zenu mnazocheza na Ndanda au Lipuli, huko ni kazi kazi na team zimejipanga sana that's why ni ngumu kusikia mtu kashinda 3 bila so muhimu ni kushinda na kulinda ulichopata.
Tutaendelea kuwafunza kidogokidogo japo tunajua aibu kubwa mliyoliandalia taifa kwenye michuano ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…