Wachezaji wa SSC Team-Work inawagharimu

Wachezaji wa SSC Team-Work inawagharimu

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Shomari Kapombe show me the way .......

Juzi niliandika kuwa SSC haijaandaliwa game za knock out kama hizi. Ushindi wa leo means ni point 3 kwenye makundi, hii ndiyo inaibeba SSC kwenye makundi lakini kwenye hizi knock out ni kama imeshapoteza , huo ndiyo ukweli MCHUNGU.

Sitegemei SSC kama itavuka hii hatua lakini kwenye mpira lolote linaweza kutokea.

Nilimwambia Ahmed Ali nilipokutana nae pale Msimbazi kuwa mpira sio uhamasishaji na kusumbua watu mtaani, mpira ni investment na kuwa na team yenye muunganiko, Simba inakosa kitu muhimu kama TEAMWORK na MUUNGANIKO.

Ukiangalia Uchezaji wa SAKO au KIBU, ni uchezaji wa KIUBINAFSI zaidi ambao kimsingi game kama hizi hautakiwa. SAKO anataka kulazimisha kushinda yeye, huku pembeni yake kuna wachezaji walio kwenye position nzuri.... matokeo yake hakuna anayeshinda... hivyo hivyo kwa KIBU. Team work kwenye timu haipo.

Michuano ya KIMATAIFA ni team work na siyo INDIVIDUAL PERFORMANCE. Hii Philosophy inatakiwa kuwa kwenye vichwa vya wachezaji na kuwe na walimu wa kuwafundisha wachezaji maana ya team work, badala yake muda mwingi unatumika kusumbua watu MITAANI , na kusahau TATIZO la MSINGI la SSC.

Sasa ngoja muende SA mkaoneshwe nidhamu ya mpira na maana ya team work.

Nilisema SSC hamuwezi kupita na HAMTOPITA. Huo ndio UKWELI mchungu, mtajadili jadili hapa sijui suluhu kule sijui nini , lakini jibu ni moja, MTAFUNGWA straightforward bila hata ya kutumia nguvu.

Timu ina lack key factors nyingi sana;

1. Hakuna Team work.

2. Ubinafsi kwa wachezaji wa SSC, inaelekea hakuna Kiongoz wa SSC anayeliona hili ni tatizo . Kama KIBU na SAKO wasingekuwa wabinafsi , SSC ingeweza kuwa na goli hata tatu. Sako amekuwa mbinafsi snaa kwenye mechi hizi inaelekea akiwa na mpira focus ni yeye kushinda na sio timu ishinde, wachezaji kama hawa hawawezi kuwa msaada kwenye timu. Sako alitakiwa asiingie kipindi cha pili.

Enock , Morison ni watu sana. Enock anayo spirit ya team work, he is always working for the team: SAKO na KIBU are Always working for their little EGO .

3. Hakuna Spirit ya kucheza away game; nina hakika kule SA , ndani ya kipindi cha 1 simba atakuwa amekalia goli mbili huku lango lake likiandamwa

4 tatizo la nne SSC haina STRIKER sababishi kama vile Mayele ambae kwa nafasi wanazotengeneza SSC , Mayele angekuwa anaondoka na HAT TRICK mara zote.

5 . Tatizo lingine ni Pablo hana maamuz ya haraka, he is always complaining for nothing, mtu kama SAKO alitakiwa atoke kipindi cha kwanza, he is too much into his mind.

Haya sasa mrudi Kwenye Ligi kusikilizia maumivu ya point 10 ; Pablo nae ajiandae kufukuzwa manaa. Safari ya SSC imefika mwisho.
 
Una point sana ila una ushabiki wa kipumbavu sana ambao watu watakupuuza,jifunze kuwasilisha vitu usiwe kama mdude

Pole , Umeumia kwa sababu nimeongea Ukweli Mchungu. MTAFUNGWA straightforwardly bila hata kutumia nguvu. Ninasema tena timu haijaandaliwa kimashindano ya mtoano
 
Mkuu huyo mayele unaemsifia tangu akiwa as vita na sasa Yuko utopoloni , mechi za kimataifa au hata ligi ya NBC anazo Hat trick ngapi ?

Heshima ya uwanja wetu wa Mkapa na taifa kwa ujumla imelindwa.Mnyama hajaliaibisha taifa kama alivyofanya utopolo kwa kusugulia nyuma na mbele na Rivers utd.

Hayo mengine huko bondeni kwa madiba yatajulikana mbele ya safari
 
Hawa watu uliowataja hapa naongezea na mohamed& kapombe ...wanajituma sana alfu sio wachoyo..
Ni wafia timu hasa Enock ukiwa na timu nzima kama enock hutojutia maisha yako yote

Nakubaliana na wewe. Show me the way Kapombe, Zimbwe Mzee wa Migebuka, Enock Enthusiast, Morison kichwa Maji, hawa watu ni watu sana na wanaipigania SIMBa Kutoka moyoni.

Sako ameshakuwa too big kwenye akili yake hasa baada ya vigoli 2 vilivyokuwa vigoli bora.... matokeo yake Timu inatolewa na hatokuwa na impact yoyote
 
Back
Top Bottom