In zuchu's voiceAcha weeeeee
kambini si anaruhusiwa kuwepo? au hata kambini hatakiwi kuwepo?Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche.
Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha makocha wazawa kaimu kocha mkuu hemed morocco na msaidizi wake kocha juma mgunda
Hatuna mpira, mengine yote ni kelele tuHata wachezaji wetu wa Stars hasa wazawa nao wanaficha madhaifu yao kwa kumsingizia kocha. Kiufupi ni kwamba hatuna wachezaji wa viwango.
Timu ya Taifa imeamua kumpumzisha? au unachanganya na TFF!!!baada ya caf kumsimamisha kwa utovu wa nidhamu nayo timu ya taifa imeamua kumpumzisha kwa mda usiojulikana
Unamwachaje beki Kijili? Wenzetu wamepeleka majitu kama kijili kila nambaUtumbo mtupu, timu imejaa wachezaji wa kuokoteza
huyo kocha tulishaingia chaka sana. tangu lini mwarabu akawa kocha wa timu ya taifa? hivi tulifumba macho?Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche.
Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha makocha wazawa kaimu kocha mkuu hemed morocco na msaidizi wake kocha juma mgunda
Kuna habari kwamba TFF wamemtimuakambini si anaruhusiwa kuwepo? au hata kambini hatakiwi kuwepo?
wakimtimua watamlipa pesa ya fidia sio au kwenye mkataba waliweka kipengele cha kutufavour? hela watatoa wapi? afu mbona kama alishachoka kufanya kazi huku alikuwa anaonekana kabisa anatafuta kufukuzwa?Kuna habari kwamba TFF wamemtimua
ni upuuzi mtupuKwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche.
Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha makocha wazawa kaimu kocha mkuu hemed morocco na msaidizi wake kocha juma mgunda