Wachezaji wa Taifa Stars baada ya kuambiwa Kocha Mkuu Adel hayuko tena wamefurahi na kuahidi kufanya kweli

Wachezaji wa Taifa Stars baada ya kuambiwa Kocha Mkuu Adel hayuko tena wamefurahi na kuahidi kufanya kweli

Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche.

Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha makocha wazawa kaimu kocha mkuu hemed morocco na msaidizi wake kocha juma mgunda
Kwahiyo tutarajie matokeo mazuri sio??

Maana juzi walifanya tunyanyasike sana.😵
Screenshot_20240119_225053_WhatsApp.jpg
 
Kuna habari kwamba TFF wamemtimua
hauko mbali na ukweli na muda wowote kuanzia sasa watakuja na official statement juu ya uamuzi huo na kwa sasa wanamalizia masuala ya kisheria kuhusu mkataba wake na tff kupitia uwakilishi wa serikali ambayo ndiyo ilijitolea kumlipa mshahara wake
 
Ila kwa nini sisi hatuwaamini makocha wazawa? Ona Senegal, Cameroon wanafanya vyema na makocha wao wazawa.
kiwango cha soka cha nchi tajwa za senegal na cameroon pamoja na uwekezaji wake ni sawa na tanzania ambapo timu ya taifa ni mali ya ccm na rais na siyo ya watanzania wote bila ya kujali itikadi zao za kisiasa na kidini?
 
Timu ya Taifa imeamua kumpumzisha??? au unachanganya na TFF!!!

TFF na Karia wake ni wajinga!?

TFF ikimpumzisha Ina maana inamkwepesha kutumikia Adhabu aliyopewa na CAF...ni ujinga!?

Anatakiwa kuendelea kufundisha Timu yake na Adhabu ya kukosa mechi nane inasimama, yaani hawezi kukaa ktk Bench la ufindi wakati wa Mechi...hii ndio Adhabu.

TFF ya Karia ni Ovyo kupqta kutokea
Iliyokua sio ya hovyo ikatokea ni ipi!!? Mind your language!!!
 
huyo kocha tulishaingia chaka sana. tangu lini mwarabu akawa kocha wa timu ya taifa? hivi tulifumba macho?
Si bora hata wangemtafuta yule mbrazil Marcio Maximo pamoja na hamsha hamsha zake tulikuwa na jambo kwa future ya team yetu!.
 
hivi, tuseme ukweli, tukimweka kocha wa kibongo tukamlipa pesa nzuri kama wanayolipwa makocha wanaotoka nje, atashindwa kweli kutufikisha pazuri? chukua kocha mbongo lipa hata milioni 20 kwa mwezi uone kama hajafundisha timu kufa na kupona.
 
Mbovu aliyezaa chawa Kama wewe bila shaka utakuwa mwijaku
Unavuka mipaka sasa. Ko tuseme Maza ako alizaa andazi yaani!!!

Usimdharau dingi ako kumpiga pumbu maza ako na matako kayakaza utokee wewe alafu ujione andazi bwege wewe😂😂😂

Jifunze kuchunga mdomo wako kwanza ukikua utaacha makalio ya mbuzi wewe😂😂😂😂😂😂😂
 
huyo kocha tulishaingia chaka sana. tangu lini mwarabu akawa kocha wa timu ya taifa? hivi tulifumba macho?
Ndio Aliosababisha tukafika hapo maana ndugu zake wa Algerian walituachia mechi ya mwisho tukapata sare nyumbani kwao,ili mtu wao abaki kwenye ajira hiyo.hatuna ubavu wa kupata sare na Algeria nyumbani kwake aisee.
Na hata huko afcon tunatia aibu kwa sababu hatukustaili kuwepo huko.
 
hivi, tuseme ukweli, tukimweka kocha wa kibongo tukamlipa pesa nzuri kama wanayolipwa makocha wanaotoka nje, atashindwa kweli kutufikisha pazuri? chukua kocha mbongo lipa hata milioni 20 kwa mwezi uone kama hajafundisha timu kufa na kupona.
Mkwasa si anadai mpaka leo?
Bongo uzwazwa mwingi
 
hivi, tuseme ukweli, tukimweka kocha wa kibongo tukamlipa pesa nzuri kama wanayolipwa makocha wanaotoka nje, atashindwa kweli kutufikisha pazuri? chukua kocha mbongo lipa hata milioni 20 kwa mwezi uone kama hajafundisha timu kufa na kupona.
Makocha wazawa hawana msimamo wata anza kubalance wachezaji wa Simba na Yanga
 
Back
Top Bottom