Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo tutarajie matokeo mazuri sio??Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche.
Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha makocha wazawa kaimu kocha mkuu hemed morocco na msaidizi wake kocha juma mgunda
Makocha wazawa wenye viwango tunao au hao wahamasishaji kina MgundaIla kwa nini sisi hatuwaamini makocha wazawa? Ona Senegal, Cameroon wanafanya vyema na makocha wao wazawa.
Wao walianza na wazungu mpaka walipopata wachezaji wazuri ndio wakaweka kandi wazunguIla kwa nini sisi hatuwaamini makocha wazawa? Ona Senegal, Cameroon wanafanya vyema na makocha wao wazawa.
Kisingizio kinachofuata utaambiwa Makocha wapya hawakupata muda kuwasoma wachezaji.Sasa hivi kisingizio cha kocha hakipo ngoja tuone
hauko mbali na ukweli na muda wowote kuanzia sasa watakuja na official statement juu ya uamuzi huo na kwa sasa wanamalizia masuala ya kisheria kuhusu mkataba wake na tff kupitia uwakilishi wa serikali ambayo ndiyo ilijitolea kumlipa mshahara wakeKuna habari kwamba TFF wamemtimua
kiwango cha soka cha nchi tajwa za senegal na cameroon pamoja na uwekezaji wake ni sawa na tanzania ambapo timu ya taifa ni mali ya ccm na rais na siyo ya watanzania wote bila ya kujali itikadi zao za kisiasa na kidini?Ila kwa nini sisi hatuwaamini makocha wazawa? Ona Senegal, Cameroon wanafanya vyema na makocha wao wazawa.
Iliyokua sio ya hovyo ikatokea ni ipi!!? Mind your language!!!Timu ya Taifa imeamua kumpumzisha??? au unachanganya na TFF!!!
TFF na Karia wake ni wajinga!?
TFF ikimpumzisha Ina maana inamkwepesha kutumikia Adhabu aliyopewa na CAF...ni ujinga!?
Anatakiwa kuendelea kufundisha Timu yake na Adhabu ya kukosa mechi nane inasimama, yaani hawezi kukaa ktk Bench la ufindi wakati wa Mechi...hii ndio Adhabu.
TFF ya Karia ni Ovyo kupqta kutokea
Wewe na wenzio mashabiki maandazi wabovuuu😂😂😂😂😂😂Timu yetu mbovu, ligi yetu mbovu, tff mbovu, serikali yetu mbovu halafu mnataka kiwango Cha timu yenu kiwe Kama brazil
Si bora hata wangemtafuta yule mbrazil Marcio Maximo pamoja na hamsha hamsha zake tulikuwa na jambo kwa future ya team yetu!.huyo kocha tulishaingia chaka sana. tangu lini mwarabu akawa kocha wa timu ya taifa? hivi tulifumba macho?
Mbovu aliyezaa chawa Kama wewe bila shaka utakuwa mwijakuWewe na wenzio mashabiki maandazi wabovuuu😂😂😂😂😂😂
Unavuka mipaka sasa. Ko tuseme Maza ako alizaa andazi yaani!!!Mbovu aliyezaa chawa Kama wewe bila shaka utakuwa mwijaku
Ndio Aliosababisha tukafika hapo maana ndugu zake wa Algerian walituachia mechi ya mwisho tukapata sare nyumbani kwao,ili mtu wao abaki kwenye ajira hiyo.hatuna ubavu wa kupata sare na Algeria nyumbani kwake aisee.huyo kocha tulishaingia chaka sana. tangu lini mwarabu akawa kocha wa timu ya taifa? hivi tulifumba macho?
Mkwasa si anadai mpaka leo?hivi, tuseme ukweli, tukimweka kocha wa kibongo tukamlipa pesa nzuri kama wanayolipwa makocha wanaotoka nje, atashindwa kweli kutufikisha pazuri? chukua kocha mbongo lipa hata milioni 20 kwa mwezi uone kama hajafundisha timu kufa na kupona.
Makocha wazawa hawana msimamo wata anza kubalance wachezaji wa Simba na Yangahivi, tuseme ukweli, tukimweka kocha wa kibongo tukamlipa pesa nzuri kama wanayolipwa makocha wanaotoka nje, atashindwa kweli kutufikisha pazuri? chukua kocha mbongo lipa hata milioni 20 kwa mwezi uone kama hajafundisha timu kufa na kupona.