Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Jana kulikuwa na Darby ya wanawake Yanga princess vs Simba Queen.
Simba iliweza kuibamiza Yanga kwa mabao 4.
Kitu nilichokiona wachezaji wengi wa Yanga princess wamekomaa sana nyuso zao zimefubaa. Huku wachezaji wa Simba Queen wanaonekana wazuri na nyuso zao zinapendeza.
Nauliza tatizo ni nini huko Yanga!? Hawalipwi mishahara au kitu gani!?