Wachezaji wa Yanga Princess

Wachezaji wa Yanga Princess

Haya mambo ya kukosoa aliyaanzisha mama na watoto mnaiga
 
Kila mtu ameumbwa na kipaji chake!
Mshukuru Mungu kwakuwa mrembo lakini tubia ndugu uaweza pata mtoto ambaye binafsi ukajutia.
Unataka tuwaite wazuri wakati siyo wazuri. Unafiki ni dhambi kubwa.
 
Kwani Wamefungwa ngapi hao Yanga Prinsensi hadi iwe ni ajabu ? 4 tu ndo mnachonga...!
Hivi nyie kwani mziki Wa Simba Kwini hamuujui.
 
Jana kulikuwa na Darby ya wanawake Yanga princess vs Simba Queen.
Simba iliweza kuibamiza Yanga kwa mabao 4.

Kitu nilichokiona wachezaji wengi wa Yanga princess wamekomaa sana nyuso zao zimefubaa. Huku wachezaji wa Simba Queen wanaonekana wazuri na nyuso zao zinapendeza.
Nauliza tatizo ni nini huko Yanga!? Hawalipwi mishahara au kitu gani!?

View attachment 2074775
toa basi na hizo sura nzuri za wachezaji wa Simba au unatuona sisi mafala kwamba hatujui watoto wazuri[emoji2959][emoji2959][emoji2959]
 
Sijaona kahaba yeyote pale mwenye hadhi ya kuitwa mchezaji, wale ni makahaba wa Sinza walichukuliwa siku 1kabla ya mechi. Sio kila anaevaa jenzi ni mchezaji wengine wanamambo yao. Wale makahaba wa Sinza
Hii sio sawa hata kama ni utani wa timu hii imepitiliza. Tujalibu kupambana na stress zetu badala ya kuja kuzitolea JF
 
Sawa wewe ni mrembo na una chura tumekubali..

Unakosoa sura ya mtu uliumba? Ukute mtoa mada sura yake ipo kama kiatu kinachocheka kwa huzuni..
 
Jana kulikuwa na Darby ya wanawake Yanga princess vs Simba Queen.
Simba iliweza kuibamiza Yanga kwa mabao 4.

Kitu nilichokiona wachezaji wengi wa Yanga princess wamekomaa sana nyuso zao zimefubaa. Huku wachezaji wa Simba Queen wanaonekana wazuri na nyuso zao zinapendeza.
Nauliza tatizo ni nini huko Yanga!? Hawalipwi mishahara au kitu gani!?

View attachment 2074775
Kwa hiyo unachotaka kusema ni kwamba wachezaji wa simba ni Warembo, au?
 
Jana kulikuwa na Darby ya wanawake Yanga princess vs Simba Queen.
Simba iliweza kuibamiza Yanga kwa mabao 4.

Kitu nilichokiona wachezaji wengi wa Yanga princess wamekomaa sana nyuso zao zimefubaa. Huku wachezaji wa Simba Queen wanaonekana wazuri na nyuso zao zinapendeza.
Nauliza tatizo ni nini huko Yanga!? Hawalipwi mishahara au kitu gani!?

View attachment 2074775
Sijawahi kuipenda Yanga iwe hawa wadada au kaka zao,lkn hiki kilichofanyika hapa ni Udhalilishaji
 
Back
Top Bottom