Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Najua wewe ni mrembo sana hongera sana bibieJana kulikuwa na Darby ya wanawake Yanga princess vs Simba Queen.
Simba iliweza kuibamiza Yanga kwa mabao 4.
Kitu nilichokiona wachezaji wengi wa Yanga princess wamekomaa sana nyuso zao zimefubaa. Huku wachezaji wa Simba Queen wanaonekana wazuri na nyuso zao zinapendeza.
Nauliza tatizo ni nini huko Yanga!? Hawalipwi mishahara au kitu gani!?
View attachment 2074775
Mimi niliona Majani tu ya kijana yanakimbia kimbia na bila refa penalt msinge pata. Maziwa marefu kama Tanganyika haaaa Uto bhanaPost picha ya mama yako tuone nae kama anang°aa
Mzee wa Nyuma Mwiko. Vipi umeuondoa!?Post picha ya mama yako tuone nae kama anang°aa
Sahihi kabisaPost picha ya mama yako tuone nae kama anang°aa
Tatizo liko wapi? Tungejikita kwenye viwango vyao badala ya uimbaji wake Mungu! Wewe ulipenda kuwa hivyo ulivyo? Mada nyingine bhana!
Ni aibu hii thread kuanzishwa na mwanaume mwenye akili timamuJana kulikuwa na Darby ya wanawake Yanga princess vs Simba Queen.
Simba iliweza kuibamiza Yanga kwa mabao 4.
Kitu nilichokiona wachezaji wengi wa Yanga princess wamekomaa sana nyuso zao zimefubaa. Huku wachezaji wa Simba Queen wanaonekana wazuri na nyuso zao zinapendeza.
Nauliza tatizo ni nini huko Yanga!? Hawalipwi mishahara au kitu gani!?
View attachment 2074775
Kama mtu ana sura mbaya tuongee unafiki!?Ni aibu hii thread kuanzishwa na mwanaume mwenye akili timamu
Mshukuru Mungu dada wewe kuumbwa mrembo.Jana kulikuwa na Darby ya wanawake Yanga princess vs Simba Queen.