Wachezaji wa Yanga waliofungwa na Ihefu wataachwa dirisha dogo mwezi Januari

Wachezaji wa Yanga waliofungwa na Ihefu wataachwa dirisha dogo mwezi Januari

Hakuna kiongozi mwenye busara anayeweza kuthubutu kutoa maneno kama hayo mbele ya Camera.
 
Tatizo bro kama huwa ana ushamba flani hivi Kwahiyo Yanga asifungwe ?
Kama siyo Mhandisi bana
 
Sina ham na yanga watu tumepoteza mamilion ya fedha kisa yangu kufungwa nasema hapana wametukosea mashabik watuombe radh au waludishe pesa zetu
 
Sina ham na yanga watu tumepoteza mamilion ya fedha kisa yangu kufungwa nasema hapana wametukosea mashabik watuombe radh au waludishe pesa zetu
Kuna jamaa angu alitia mzigo haswaa huko betpawa yeye ni mzee wa timu moja, aloooo
 
Back
Top Bottom