Wachezaji wa Yanga waliofungwa na Ihefu wataachwa dirisha dogo mwezi Januari

Wachezaji wa Yanga waliofungwa na Ihefu wataachwa dirisha dogo mwezi Januari

Msifungwe nyie kina nani?!!!![emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji1]hivi kwa time Gani hapoooo
 
Kuna jamaa angu alitia mzigo haswaa huko betpawa yeye ni mzee wa timu moja, aloooo
Angekuwa mtu wa kufuatilia trends za mechi za Yanga, asingeweka mzigo. Wakati mwingine pia kama unaweka mzigo mrefu, ni vyema kuangalia kikosi kilichopangwa maana makocha huwa hawaeleweki sana
 
Angekuwa mtu wa kufuatilia trends za mechi za Yanga, asingeweka mzigo. Wakati mwingine pia kama unaweka mzigo mrefu, ni vyema kuangalia kikosi kilichopangwa maana makocha huwa hawaeleweki sana
Jamaa huwa anaiamini yanga mno coz anadai imempa hela nyingi sanaa
 
hatuwezi kuwaacha hayo ni maneno ya wapuuzi
Hamuwezi kama nani wakati anayetoa hela za kuwasajili na kuwalipa mishahara wachezaji ndiye ametamka hivyo? Unaanzaje kumuita Hersi kuwa ni mpuuzi?
 
Kwel wote mnaamin Hers injinia aliongea ivyo kwenye meChi ya ihefu,,,duh.iyo Ni meChi ya champion league Rwanda Tena kabla mech ijaanza[emoji16][emoji16]
 
Kufungwa ni sehemu ya mchezo....lets heal and move on. Kuna muda mpira ni psychology kuwaridhisha mashabiki. Nothing serious there sema nyau fc anaona kama kashinda ligi tayari.
 
Back
Top Bottom