Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 688
Kwa hiyo kuna utaratibu kwamba timu itakayofungwa na Ihefu ndio itakuja kuwa bingwa?Kufungwa na Ihefu na kukosa ubingwa kipi bora haswa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kuna utaratibu kwamba timu itakayofungwa na Ihefu ndio itakuja kuwa bingwa?Kufungwa na Ihefu na kukosa ubingwa kipi bora haswa?
Angekuwa mtu wa kufuatilia trends za mechi za Yanga, asingeweka mzigo. Wakati mwingine pia kama unaweka mzigo mrefu, ni vyema kuangalia kikosi kilichopangwa maana makocha huwa hawaeleweki sanaKuna jamaa angu alitia mzigo haswaa huko betpawa yeye ni mzee wa timu moja, aloooo
Jamaa huwa anaiamini yanga mno coz anadai imempa hela nyingi sanaaAngekuwa mtu wa kufuatilia trends za mechi za Yanga, asingeweka mzigo. Wakati mwingine pia kama unaweka mzigo mrefu, ni vyema kuangalia kikosi kilichopangwa maana makocha huwa hawaeleweki sana
Mpaka sasa Bingwa wako wa NBC PL 2022/2023 ni nani, alifungwa na Ihefu au hakufungwa msimu huo?Kwa hiyo kuna utaratibu kwamba timu itakayofungwa na Ihefu ndio itakuja kuwa bingwa?
hatuwezi kuwaacha hayo ni maneno ya wapuuzi
Ndio maana akauliza, timu ikitaka kuchukua ubingwa, Je, dawa ni kuiachia Ihefu iifunge?Mpaka sasa Bingwa wako wa NBC PL 2022/2023 ni nani, alifungwa na Ihefu au hakufungwa msimu huo?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app