Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Jana simba walipocheza na Horoya fc, wachezaji walipata shida sana maana wale jamaa ni warefu sana, kilichowapata Simba jana, leo kimewapata Yanga. Mabeki wafupi wa Yanga ni mzigo kwa michuano ya Kimataifa.
Angalia mabenki wa Yanga, sasa mtu kama Dickson Job kweli ni benki mzuri ila ufupi utampa shida sana, kwa hapa Tanzania tunamuona wa maana ila tatizo linaanza kwenye mechi za kimataifa.
Ili mpira wetu uheshimike kwanza tunatakiwa tuangalie vimo kwenye namba husika, mtu kama Kibwana, Dck, Kapombe, Shabalala wote hao ni wa kucheza namba za katI
Leo magoli yote ya kichwa aibu sana.
Ni hayo tu.
Mapovu yanaruhusiwa.
Mangi shangaliiii