Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Martinez hakuwekwa benchi huyo jamaa anatupotoshaUkiwa mfupi uwe mwepesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Martinez hakuwekwa benchi huyo jamaa anatupotoshaUkiwa mfupi uwe mwepesi
Otamendi mrefu? Uza hiyo tv unayoitumia kutizamia mechiSio kweli, warefu wapo...
Mechi na uholanzi yule Martinez aliwekwa benchi kwasababu ni mfupi, akaanza otamendi pamoja na romero ambao ni warefu wastani, na pia wanaruka sana
Naona kuna mtu kasema hapo juu kuwa ukiwa mfupi uwe mwepesi
Nilijifunza kitu ile mechi ya Argentina v Nederland.Naona kuna mtu kasema hapo juu kuwa ukiwa mfupi uwe mwepesi
Labda inaonyesha watu wafupiOtamendi mrefu? Uza hiyo tv unayoitumia kutizamia mechi