Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,869 Reaction score 14,501 Feb 12, 2023 #21 Mangi shangali said: Ukiwa mfupi uwe mwepesi Click to expand... Martinez hakuwekwa benchi huyo jamaa anatupotosha
Mangi shangali said: Ukiwa mfupi uwe mwepesi Click to expand... Martinez hakuwekwa benchi huyo jamaa anatupotosha
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Feb 12, 2023 #22 camily said: Sio kweli, warefu wapo... Mechi na uholanzi yule Martinez aliwekwa benchi kwasababu ni mfupi, akaanza otamendi pamoja na romero ambao ni warefu wastani, na pia wanaruka sana Click to expand... Otamendi mrefu? Uza hiyo tv unayoitumia kutizamia mechi
camily said: Sio kweli, warefu wapo... Mechi na uholanzi yule Martinez aliwekwa benchi kwasababu ni mfupi, akaanza otamendi pamoja na romero ambao ni warefu wastani, na pia wanaruka sana Click to expand... Otamendi mrefu? Uza hiyo tv unayoitumia kutizamia mechi
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,039 Reaction score 10,151 Feb 12, 2023 #24 Tareek said: View attachment 2515360 Click to expand... Naona kuna mtu kasema hapo juu kuwa ukiwa mfupi uwe mwepesi
Tareek said: View attachment 2515360 Click to expand... Naona kuna mtu kasema hapo juu kuwa ukiwa mfupi uwe mwepesi
Nedlloyd JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 10,361 Reaction score 27,215 Feb 12, 2023 #25 changaule said: Naona kuna mtu kasema hapo juu kuwa ukiwa mfupi uwe mwepesi Click to expand... Nilijifunza kitu ile mechi ya Argentina v Nederland. Sio size ya umbo ni size ya mapigano ndani ya mtu hutakiwa.
changaule said: Naona kuna mtu kasema hapo juu kuwa ukiwa mfupi uwe mwepesi Click to expand... Nilijifunza kitu ile mechi ya Argentina v Nederland. Sio size ya umbo ni size ya mapigano ndani ya mtu hutakiwa.
Mangi shangali JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 533 Reaction score 820 Feb 12, 2023 Thread starter #26 Marco Polo said: Otamendi mrefu? Uza hiyo tv unayoitumia kutizamia mechi Click to expand... Labda inaonyesha watu wafupi
Marco Polo said: Otamendi mrefu? Uza hiyo tv unayoitumia kutizamia mechi Click to expand... Labda inaonyesha watu wafupi