Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Pamoja sana ndugu yangu tena msimu ulopita wa 92 Jose alitoka kufanya mambo makubwa akiwa na timu b ya taifa (kakakuona )ilosheheni vipaji kama kaunda mwakitope akina salum kabunda akina mbui yondani seki pia alikuwepo aah zamani kidogo hiyo.Uko sahihi mkuu,nilichanganya majina
Kenny Mkapa aliwalaza mikia na viatu baada ya kuwa wamebebwa Zenj kwa matuta.Pamoja sana ndugu yangu tena msimu ulopita wa 92 Jose alitoka kufanya mambo makubwa akiwa na timu b ya taifa (kakakuona )ilosheheni vipaji kama kaunda mwakitope akina salum kabunda akina mbui yondani seki pia alikuwepo aah zamani kidogo hiyo.
duu kipindi hcho ndiyo kulikua na mpira banaa.ngoma unaisikilizia kwa radio tuu.watangazaj mahiri kama wakina swed mwinyi,omar jongo,na dominic chilambo(rip).siyo mpira wa ss hv wachezaji wanaenda kuuza tu sura huko na stail za minywele.Yanga alichukua ubingwa pia 1993 kampla.Fainali Villa sc alikula 3 na golini alianza Nemes alipoumia akaingii Katuba. Athman Idd chuji naye alitamba kote,Mrisho Halfan Ngassa uncle!!!!!
Nimekaona kakichuya kanaliaduu kipindi hcho ndiyo kulikua na mpira banaa.ngoma unaisikilizia kwa radio tuu.watangazaj mahiri kama wakina swed mwinyi,omar jongo,na dominic chilambo(rip).siyo mpira wa ss hv wachezaji wanaenda kuuza tu sura huko na stail za minywele.
Yaah ilikuwa moja bila hiyo yenyewe ya zenj niliongea na almarhum kabunda waqt wa uhai wake refa alikuwa almarhumu mzee hafidhy ali Kenny alilambwa kadi nyekundu mapema tu basi kabunda kamfata mwamuzi kumuuliza jibu lake likawa nikupe na weye? Kabunda akawa mdogoKenny Mkapa aliwalaza mikia na viatu baada ya kuwa wamebebwa Zenj kwa matuta.
Yaah kachanganya mjomba na mpwa Jurgen boy au Pele wa mwanza alicheza simba tu.Juma Amir hakuwahi kucheza yanga, nahisi umemchanganya na mjomba wake Amir Maftah,Amir kachezea timu zote mbili simba na yanga,
Si kweli kumbukumbu zangu ni kwamba yanga ilishinda 2-1 yanga ikifungwa bao la mapema sana lakini lilisawazishwa na kizota na baadae lunyamila kapiga la pili mechi ikaisha yanga 2-1 sports club villaYanga alichukua ubingwa pia 1993 kampla.Fainali Villa sc alikula 3 na golini alianza Nemes alipoumia akaingii Katuba. Athman Idd chuji naye alitamba kote,Mrisho Halfan Ngassa uncle!!!!!
Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita. Pumzikeni kwa amani wachezaji wote waliotangulia mbele ya haki.Yaah ilikuwa moja bila hiyo yenyewe ya zenj niliongea na almarhum kabunda waqt wa uhai wake refa alikuwa almarhumu mzee hafidhy ali Kenny alilambwa kadi nyekundu mapema tu basi kabunda kamfata mwamuzi kumuuliza jibu lake likawa nikupe na weye? Kabunda akawa mdogo
Mji wa Kampala ukatekwa na Lunyamila. Kila kona unayopita gumzo alikuwa Lunyamila, hadi hiace zao zilipigwa jina la Lunyamila.Si kweli kumbukumbu zangu ni kwamba yanga ilishinda 2-1 yanga ikifungwa bao la mapema sana lakini lilisawazishwa na kizota na baadae lunyamila kapiga la pili mechi ikaisha yanga 2-1 sports club villa
Tuko naye jamaa huku mbez pamoja na Aboubakary salumMji wa Kampala ukatekwa na Lunyamila. Kila kona unayopita gumzo alikuwa Lunyamila, hadi hiace zao zilipigwa jina la Lunyamila.
Kama unamzungumzia kelvin keegan sina kumbukumbu kama aligusa lunyasi huyuOmar Hussein
Yaah rajab rashidi anajichanganya kwa kusikia filimbi ya mashabiki na kudhani ni ya muamuzi anaukamata mpira ndani ya kumi na nane mwamuzi anaweka tuta almarhumu gaga anapiga mpira unagonga mtambaa panya kisha yanga wanaenda kupata bao. Wale ambao walikuwa wakifuatilia mpira kupitia RTD khasa mashabiki wa simba wanashangilia bao wakidhani gaga kaukwamisha mpira kumbe sivyo. Simba alikula tatu kwa moja mabao ya yanga yakifungwa na makumbi juma (homa ya jiji )Thomas kipese na sanifu razaro (tingisha ).Hamisa Tobias Gaga. Gagarino
Mfanyakazi liliandika King Keegan abadili dini !Kama unamzungumzia kelvin keegan sina kumbukumbu kama aligusa lunyasi huyu