Wachezaji waliochezea vilabu vyote vya Simba na Yanga kwa mafanikio

Pamoja sana ndugu yangu tena msimu ulopita wa 92 Jose alitoka kufanya mambo makubwa akiwa na timu b ya taifa (kakakuona )ilosheheni vipaji kama kaunda mwakitope akina salum kabunda akina mbui yondani seki pia alikuwepo aah zamani kidogo hiyo.
Kenny Mkapa aliwalaza mikia na viatu baada ya kuwa wamebebwa Zenj kwa matuta.
 
Yanga alichukua ubingwa pia 1993 kampla.Fainali Villa sc alikula 3 na golini alianza Nemes alipoumia akaingii Katuba. Athman Idd chuji naye alitamba kote,Mrisho Halfan Ngassa uncle!!!!!
duu kipindi hcho ndiyo kulikua na mpira banaa.ngoma unaisikilizia kwa radio tuu.watangazaj mahiri kama wakina swed mwinyi,omar jongo,na dominic chilambo(rip).siyo mpira wa ss hv wachezaji wanaenda kuuza tu sura huko na stail za minywele.
 
Nimekaona kakichuya kanalia
 
Attachments

Kenny Mkapa aliwalaza mikia na viatu baada ya kuwa wamebebwa Zenj kwa matuta.
Yaah ilikuwa moja bila hiyo yenyewe ya zenj niliongea na almarhum kabunda waqt wa uhai wake refa alikuwa almarhumu mzee hafidhy ali Kenny alilambwa kadi nyekundu mapema tu basi kabunda kamfata mwamuzi kumuuliza jibu lake likawa nikupe na weye? Kabunda akawa mdogo
 
Yanga alichukua ubingwa pia 1993 kampla.Fainali Villa sc alikula 3 na golini alianza Nemes alipoumia akaingii Katuba. Athman Idd chuji naye alitamba kote,Mrisho Halfan Ngassa uncle!!!!!
Si kweli kumbukumbu zangu ni kwamba yanga ilishinda 2-1 yanga ikifungwa bao la mapema sana lakini lilisawazishwa na kizota na baadae lunyamila kapiga la pili mechi ikaisha yanga 2-1 sports club villa
 
Yaah ilikuwa moja bila hiyo yenyewe ya zenj niliongea na almarhum kabunda waqt wa uhai wake refa alikuwa almarhumu mzee hafidhy ali Kenny alilambwa kadi nyekundu mapema tu basi kabunda kamfata mwamuzi kumuuliza jibu lake likawa nikupe na weye? Kabunda akawa mdogo
Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita. Pumzikeni kwa amani wachezaji wote waliotangulia mbele ya haki.
 
Si kweli kumbukumbu zangu ni kwamba yanga ilishinda 2-1 yanga ikifungwa bao la mapema sana lakini lilisawazishwa na kizota na baadae lunyamila kapiga la pili mechi ikaisha yanga 2-1 sports club villa
Mji wa Kampala ukatekwa na Lunyamila. Kila kona unayopita gumzo alikuwa Lunyamila, hadi hiace zao zilipigwa jina la Lunyamila.
 
Wote Simba na Yanga hawajawahi kuwa na wachezaji wazuri ila majina tu na mpira si jina bali kipaji na akili. Binafsi sijawahi ona mchezaji yeyote mzuri toka hizi club tajwa na ndiyo maana hatujawahi kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa.
 
Hamisa Tobias Gaga. Gagarino
Yaah rajab rashidi anajichanganya kwa kusikia filimbi ya mashabiki na kudhani ni ya muamuzi anaukamata mpira ndani ya kumi na nane mwamuzi anaweka tuta almarhumu gaga anapiga mpira unagonga mtambaa panya kisha yanga wanaenda kupata bao. Wale ambao walikuwa wakifuatilia mpira kupitia RTD khasa mashabiki wa simba wanashangilia bao wakidhani gaga kaukwamisha mpira kumbe sivyo. Simba alikula tatu kwa moja mabao ya yanga yakifungwa na makumbi juma (homa ya jiji )Thomas kipese na sanifu razaro (tingisha ).
 
Back
Top Bottom