Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Wengi waliharibika kizazi hichoHamis Kondo huyu alikua mteja kabisa alikua anatembea na kandambili ilala mpaka kariakoo
We mtu wa wapi lakini? We unafikir kufanya vizuri kimataifa ni jukumu la wachezaji tu? Ni organization nzima inayohusika. Kuanzia wizara Chama cha mpira mpaka wewe mshabiki. Wachezaji ambao hawapewi sapoti yoyote wafanye nini mbele ya timu ambazo Zina full sapoti? Mchezaji anadaiwa jezi baada ya kubadilishana na Mchezaji mkubwa Dunia I unategemea nini. Hashimu viwango vyao. Havikua vidogoWote Simba na Yanga hawajawahi kuwa na wachezaji wazuri ila majina tu na mpira si jina bali kipaji na akili. Binafsi sijawahi ona mchezaji yeyote mzuri toka hizi club tajwa na ndiyo maana hatujawahi kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa.
Ni mtazamo wako hatuna budi kuheshimu mtazamo wako
Umetaja "Mrundi" nikamkumbuka "Mnyarwanda" Constantine Kimanda....
Msuva siyo mchezaji mzuri? Samatta je? Ajibu ,Mrisho Ngassa etc.Acha dharau mkuu.
Wewe ni kilaza na ni mpuizi wa kiwango cha lami.Mbona una akili za kijinga wewe mtoto? Mrisho Ngassa ni mchezaji? Ngassa si ndiyo huyu huyu aliwahi kwenda Uingereza kutafuta timu ya kucheza (West Ham - tena ikiwa katika ligi ya Championship au daraja la pili huku kwetu). Ngassa alichemsha alishindwa kupata hata namba ya kukaa benchi ile ya kubeba maji ya wachezaji wenzake. Zola (kocha wa West Ham) akasema Ngassa bado sana kimpira inabidi arudi alikotoka akajitahidi. Muulizeni Ngassa mwenyewe atawaambia. Kaenda bondeni kule nako alishindwa kufurukuta. Msuva hana kiwango ni mchezaji wa kawaida sana. Samatta pekee ndiyo namkubali si kivile ila ana akili ya mpira na anajituma uwanjani. Mpira wa kibongo ni matunguli tu, hata wewe mwenyewe itokee tu siku upangwe kwenye moja ya hizi timu na upige bao, utawasikia wabongo wanakupachika jina la Messi au Ronaldo japo hujuwi mpira kivile. Umeshawahi kujiuliza kwanini TZ hatufanikiwi kimataifa? Jiulize utapata tu jibu, ondokana na hizo fikra za kipuuzi kuwa Simba na Yanga ni timu nzuri, hazina mpango wowote hizi timu ni jina tu.
Rambirambi ya Mafisango nayo ililiwa na wahindi wa Yanga.
La omoPovu
We mtu wa wapi lakini? We unafikir kufanya vizuri kimataifa ni jukumu la wachezaji tu? Ni organization nzima inayohusika. Kuanzia wizara Chama cha mpira mpaka wewe mshabiki. Wachezaji ambao hawapewi sapoti yoyote wafanye nini mbele ya timu ambazo Zina full sapoti? Mchezaji anadaiwa jezi baada ya kubadilishana na Mchezaji mkubwa Dunia I unategemea nini. Hashimu viwango vyao. Havikua vidogo
Wewe ni kilaza na ni mpuizi wa kiwango cha lami.
Sinaga tabia ya kubishana na mbumbumbuYaani hapa ndipo umenionyesha kiwango chako cha ujinga....yaani unakataa ukweli ila unajilazimisha kuukubali uwongo na ujinga, sawa mkuu.
Hao unaowashabikia mwisho wa siku utawapa 0713.Tatizo la mpira wa Tanzania ni kuwa na mshabiki kama wewe. Yaani unataka kuheshimu na kushabikia kitu kisichoeleweka for what reason? Hata hao wenzetu wanaofanya vizuri hivi sasa walitoka kwenye ujinga kama tulionao sisi na kufika hapa walipo. Nakumbuka mwaka 1984, wananchi wa Nigeria waligoma na kusema kwamba wao as taifa kubwa Afrika inawezekanaje wawe wasindikizaji tu katika mashindano ya kimataifa? Wananchi waliingilia kati na kuisusa timu ya taifa, walikuwa hawaendi kuishangalia kwa sababu walikuwa hawana wachezaji wazuri. Mwaka huo huo, rais wa shirikisho akaanzisha mkakati wa kuinua vipaji na kuchukua wachezaji chipukizi kuunda timu ya taifa, yaliyojiri ndiyo haya yanayotokea hivi sasa kwa Nigeria. Hapa Tanzania mashabiki ndiyo wanaua mpira wetu, utakuta mtu hajuwi mpira ila anashabikia kitu na anabisha tu ili mradi mambumbumbu wenzake wamesema hivyo. Jiulize kidogo, katika timu yetu ya taifa ukimwondoa Samatta kuna nani pale?
Sinaga tabia ya kubishana na mbumbumbu
Hao unaowashabikia mwisho wa siku utawapa 0713.
Wewe ndo ipo siku utajitambua maana umekaririshwa na ukakariri kama kasuku,huwezi kupima vitu kwa viwango tofauti.upo tuu kama ngiri,hujitambui.Kama nilivyokuambia, ipo siku utajitambua tu....si kosa lako.
Hajielewi huyu ,achana nayevanaweza akawa anapigwa naoWe mtu wa wapi lakini? We unafikir kufanya vizuri kimataifa ni jukumu la wachezaji tu? Ni organization nzima inayohusika. Kuanzia wizara Chama cha mpira mpaka wewe mshabiki. Wachezaji ambao hawapewi sapoti yoyote wafanye nini mbele ya timu ambazo Zina full sapoti? Mchezaji anadaiwa jezi baada ya kubadilishana na Mchezaji mkubwa Dunia I unategemea nini. Hashimu viwango vyao. Havikua vidogo