Wachezaji waliochezea vilabu vyote vya Simba na Yanga kwa mafanikio

Wote Simba na Yanga hawajawahi kuwa na wachezaji wazuri ila majina tu na mpira si jina bali kipaji na akili. Binafsi sijawahi ona mchezaji yeyote mzuri toka hizi club tajwa na ndiyo maana hatujawahi kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa.
We mtu wa wapi lakini? We unafikir kufanya vizuri kimataifa ni jukumu la wachezaji tu? Ni organization nzima inayohusika. Kuanzia wizara Chama cha mpira mpaka wewe mshabiki. Wachezaji ambao hawapewi sapoti yoyote wafanye nini mbele ya timu ambazo Zina full sapoti? Mchezaji anadaiwa jezi baada ya kubadilishana na Mchezaji mkubwa Dunia I unategemea nini. Hashimu viwango vyao. Havikua vidogo
 
Ni mtazamo wako hatuna budi kuheshimu mtazamo wako

Ni kweli ila hata wewe mwenyewe jiulize, ni mchezaji gani wa maana ama mzuri wa hizo timu tajwa ambaye angeweza cheza mpira wa kimataifa Ulaya au hata hapo Uganda tu. Jibu ni HAKUNA, walikuwa 'useless' wote na ndiyo maana nimesema mpira wa kibongo unaendana na jina tu si ujuzi wala akili ya mchezaji. Kulikuwa na Lunyamila wa Yanga, kwa hapa Bongo alitamba sana mpaka mashabiki wake wakawa wanajipiga vidole kwa ajili yake, cha kushangaza akaenda Ujerumani kutafuta timu ya kuchezea tena ya daraja lisilojulikana, hakupata namba kutokana na kuwa na kiwango kidogo cha mpira. Akaenda Venezuela nchi isiyo na mpira mzuri, huko nako hakupata namba akarudi Bongo akapokelewa kishujaa kuwa bonge la mchezaji. Ngassa naye, hapa bora niache tu maana mashabiki wa Yanga watajipiga vidole bure na kutaka kujitoa muhanga bure. Simba na Yanga hazina mpango ni jina tu.
 
Umetaja "Mrundi" nikamkumbuka "Mnyarwanda" Constantine Kimanda....

Soka ina maajabu yake ..constantine alikua staa yanga zaidi ya Nonda na Ngandu Ramadhani..lkn leo hii uki google constantine Kimanda utatoka patupu...history imekua tofauti kbs!!
 
Msuva siyo mchezaji mzuri? Samatta je? Ajibu ,Mrisho Ngassa etc.Acha dharau mkuu.

Mbona una akili za kijinga wewe mtoto? Mrisho Ngassa ni mchezaji? Ngassa si ndiyo huyu huyu aliwahi kwenda Uingereza kutafuta timu ya kucheza (West Ham - tena ikiwa katika ligi ya Championship au daraja la pili huku kwetu). Ngassa alichemsha alishindwa kupata hata namba ya kukaa benchi ile ya kubeba maji ya wachezaji wenzake. Zola (kocha wa West Ham) akasema Ngassa bado sana kimpira inabidi arudi alikotoka akajitahidi. Muulizeni Ngassa mwenyewe atawaambia. Kaenda bondeni kule nako alishindwa kufurukuta. Msuva hana kiwango ni mchezaji wa kawaida sana. Samatta pekee ndiyo namkubali si kivile ila ana akili ya mpira na anajituma uwanjani. Mpira wa kibongo ni matunguli tu, hata wewe mwenyewe itokee tu siku upangwe kwenye moja ya hizi timu na upige bao, utawasikia wabongo wanakupachika jina la Messi au Ronaldo japo hujuwi mpira kivile. Umeshawahi kujiuliza kwanini TZ hatufanikiwi kimataifa? Jiulize utapata tu jibu, ondokana na hizo fikra za kipuuzi kuwa Simba na Yanga ni timu nzuri, hazina mpango wowote hizi timu ni jina tu.
 
Wewe ni kilaza na ni mpuizi wa kiwango cha lami.
 
We mtu wa wapi lakini? We unafikir kufanya vizuri kimataifa ni jukumu la wachezaji tu? Ni organization nzima inayohusika. Kuanzia wizara Chama cha mpira mpaka wewe mshabiki. Wachezaji ambao hawapewi sapoti yoyote wafanye nini mbele ya timu ambazo Zina full sapoti? Mchezaji anadaiwa jezi baada ya kubadilishana na Mchezaji mkubwa Dunia I unategemea nini. Hashimu viwango vyao. Havikua vidogo

Tatizo la mpira wa Tanzania ni kuwa na mshabiki kama wewe. Yaani unataka kuheshimu na kushabikia kitu kisichoeleweka for what reason? Hata hao wenzetu wanaofanya vizuri hivi sasa walitoka kwenye ujinga kama tulionao sisi na kufika hapa walipo. Nakumbuka mwaka 1984, wananchi wa Nigeria waligoma na kusema kwamba wao as taifa kubwa Afrika inawezekanaje wawe wasindikizaji tu katika mashindano ya kimataifa? Wananchi waliingilia kati na kuisusa timu ya taifa, walikuwa hawaendi kuishangalia kwa sababu walikuwa hawana wachezaji wazuri. Mwaka huo huo, rais wa shirikisho akaanzisha mkakati wa kuinua vipaji na kuchukua wachezaji chipukizi kuunda timu ya taifa, yaliyojiri ndiyo haya yanayotokea hivi sasa kwa Nigeria. Hapa Tanzania mashabiki ndiyo wanaua mpira wetu, utakuta mtu hajuwi mpira ila anashabikia kitu na anabisha tu ili mradi mambumbumbu wenzake wamesema hivyo. Jiulize kidogo, katika timu yetu ya taifa ukimwondoa Samatta kuna nani pale?
 
Hao unaowashabikia mwisho wa siku utawapa 0713.
 
We mtu wa wapi lakini? We unafikir kufanya vizuri kimataifa ni jukumu la wachezaji tu? Ni organization nzima inayohusika. Kuanzia wizara Chama cha mpira mpaka wewe mshabiki. Wachezaji ambao hawapewi sapoti yoyote wafanye nini mbele ya timu ambazo Zina full sapoti? Mchezaji anadaiwa jezi baada ya kubadilishana na Mchezaji mkubwa Dunia I unategemea nini. Hashimu viwango vyao. Havikua vidogo
Hajielewi huyu ,achana nayevanaweza akawa anapigwa nao
 
Back
Top Bottom