Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Beckham leo anaanza timu yoyote duniani, jamaa alikua anacheza mpira wa kisasa kwenye muda wa zamani.Huyu bishoo hakuwa mkali kivile, ni tabia tu ya waingereza kukuza vyao.
Kama hufahamu, Beckham hakua bishoo, alikua anakaba mpaka kivuli, alikua anakimbia vibaya mno, kama unavyoona watu design ya Ngolo kante na Ji sung park sababu alikua anavaa vizuri na kuweka style za nywele usifikiri alikua bishoo uwanjani.
High-energy Beckham
Kevin Mitchell on how the England captain achieves the phenomenal workrate that took England through to the World Cup finals.
Huo msimu on average Beckham alikimbia km 14,
Kuhusu 1999 Beckham kawabeba Man United Champions league hadi final, wakabeba UCL. Walibeba FA na Ligi pia timu pekee iliochukua treble kabla ya City msimu uliopita. Na alieshinda hio tuzo Rivaldo alitolewa na Man U makundi UCL.
Hii tuzo miaka Yote ina Bias kwa Wachezaji wanaocheza Uingereza.