Wachezaji waliostahili tuzo ya Balon d'or lakini hawakuwahi kuipata

Wachezaji waliostahili tuzo ya Balon d'or lakini hawakuwahi kuipata

Wachezaji hawa walistahili hii tuzo lakini nyakati hazikuwa sahihi kwao:

1. Thierry Henry
2. Steven Gerald
3. Didier Drogba
4. Samuel Etoo
5. Frank Lampard
6. Robert Lewandowski
7. Arjen Roben
8. Wesley Sneijder
9. Toni Kroos
10. Andrea Pirlo
Messi anapewa kabisa na kufidiwa muda wake atakapokuwa kastaafu!
 
Wachezaji hawa walistahili hii tuzo lakini nyakati hazikuwa sahihi kwao:

1. Thierry Henry
2. Steven Gerald
3. Didier Drogba
4. Samuel Etoo
5. Frank Lampard
6. Robert Lewandowski
7. Arjen Roben
8. Wesley Sneijder
9. Toni Kroos
10. Andrea Pirlo
Xaxi na lniesta!
 
Kumbuka nae rivaldo mwaka mmoja nyuma alifika fainali ya kombe la dunia na timu yake taifa na mwaka huo 1999 alibeba copa America na timu yake ya taifa.
Sikatai ila Kombe la dunia Baloon D or yake alibeba Zidane, Na UCL ni 2nd only to World cup.
 
Wachezaji hawa walistahili hii tuzo lakini nyakati hazikuwa sahihi kwao:

1. Thierry Henry
2. Steven Gerald
3. Didier Drogba
4. Samuel Etoo
5. Frank Lampard
6. Robert Lewandowski
7. Arjen Roben
8. Wesley Sneijder
9. Toni Kroos
10. Andrea Pirlo
Wana bahati mbaya walicheza nyaati za Messi na Ronado!
 
Mkuu, nahisi wewe utakuwa na chuki binafsi dhidi ya Beckham. Ama la, basi hukuwa mfuatiliaji mzuri wa mpira wa zama hizo.

Maana huwezi kuchukizwa na style ya nywele na uvaaji wa Beckham, ukasahau upambanaji wa huyu jamaa
Mimi mwenyewe pamoja nlikua siipendi Man U lakini Beckham ilibidi nmpende tu
 
Bila Xavi, Iniesta na Frank Ribery bado list yako ni fake
 
Nimekupa link mwaka 2003/04 ligi ya Uingereza ilikua bora kuliko Serie A so point Hio ni kamba unatupiga,

Pia Sheva ni more of a poacher wakati Henry alikua complete player Ukiangalia assist data Unaelewa.

Hizo data nilizoweka ni za club tu bado timu ya Taifa, 2004 Ukraine walitolewa kufuzu hata Euro hawakwenda ila Henry walifika robo.

Kushindilia msumari Kaka alikua best player wa Milan 2004

Na akachukua uchezaji bora wa Serie A huo mwaka, So haimake sense Kaka awe bora Milan na bora Serie A kisha Shevchenko awe mchezaji bora wa Dunia kwa kufunga Magoli 4 tu UCL.
Mkuu umejenga hoja vizuri sana
 
Back
Top Bottom