Wachezaji waliostahili tuzo ya Balon d'or lakini hawakuwahi kuipata

Unaujua mpira mkuu. Umenena vena. Ni kweli wote walikuwa vizuri. Lakini kipindi chao wapo walikuwa vizuri na record nzuri zaidi yao. Lakini kati ya hao wote nakumbuka ni Eto alionewa ksbb ya uafrika. Lakini kiuhalisia ule mwaka fulani ilikuwa aidokoe yeye. Wakaipiga dariz
 
Wachezaji hawa walistahili hii tuzo lakini nyakati hazikuwa sahihi kwao:

1. Thierry Henry
2. Steven Gerald
3. Didier Drogba
4. Samuel Etoo
5. Frank Lampard
6. Robert Lewandowski
7. Arjen Roben
8. Wesley Sneijder
9. Toni Kroos
10. Andrea Pirlo
11. seadolf
 
sasa stats za EPL ndio zikupe tunzo ya mchezaji bora wa Ulaya?
Soma vizuri Screenshots
Henry UCL kacheza mechi 10 goli 5 assist 7 dakika 889 sawa na kila dakika 74 anafunga ama kutoa pasi ya goli

Sheva mwaka huo huo mechi 9 ana Goli 4 na assist 1.

So UCL pia Henry alikua na stats nzuri kuliko Sheva, na ukiangalia aina ya Uchezaji wao Henry alikua team Player zaidi.
 
football early 2000's haikua kama ya sasa ya kuhisabiana magoli na assist, Uwezo wa Sheva ulikua ni mkubwa sana ukilinganisha na Henry. Standard ya Ligi ya Italia nayo ilikua ni kubwa sana ukilinganisha na England.
 
EPL bado haikuwa power house league kwa kipindi hicho, Henry ali flop vibaya sarie A kabla kukimbilia EPL Retirement league ya wakati huo kwenda kutengeneza heshima.
 
Huyu bishoo hakuwa mkali kivile, ni tabia tu ya waingereza kukuza vyao.
Mkuu, nahisi wewe utakuwa na chuki binafsi dhidi ya Beckham. Ama la, basi hukuwa mfuatiliaji mzuri wa mpira wa zama hizo.

Maana huwezi kuchukizwa na style ya nywele na uvaaji wa Beckham, ukasahau upambanaji wa huyu jamaa
 
EPL bado haikuwa power house league kwa kipindi hicho, Henry ali flop vibaya sarie A kabla kukimbilia EPL Retirement league ya wakati huo kwenda kutengeneza heshima.
2003/2004 Chelsea kafika nusu Uefa, hakukua na timu hata moja ya Italy Nusu, Fainali ilikua Ufaransa (Monaco) na Ureno (Porto).

Hii Coefficient ya Uefa mwaka 2004 Ligi ya kwanza kwa ubora ilikua La Liga, ya Pili Epl na ya tatu Serie A, so hoja yako haina mantiki kabisa

football early 2000's haikua kama ya sasa ya kuhisabiana magoli na assist, Uwezo wa Sheva ulikua ni mkubwa sana ukilinganisha na Henry. Standard ya Ligi ya Italia nayo ilikua ni kubwa sana ukilinganisha na England.
Nimekupa link mwaka 2003/04 ligi ya Uingereza ilikua bora kuliko Serie A so point Hio ni kamba unatupiga,

Pia Sheva ni more of a poacher wakati Henry alikua complete player Ukiangalia assist data Unaelewa.

Hizo data nilizoweka ni za club tu bado timu ya Taifa, 2004 Ukraine walitolewa kufuzu hata Euro hawakwenda ila Henry walifika robo.

Kushindilia msumari Kaka alikua best player wa Milan 2004

Na akachukua uchezaji bora wa Serie A huo mwaka, So haimake sense Kaka awe bora Milan na bora Serie A kisha Shevchenko awe mchezaji bora wa Dunia kwa kufunga Magoli 4 tu UCL.
 
Ikiwi uliishi kwenye hizo zama basi huwezi zungumza upuuzi kama huo kama Henry alikua ni zaidi ya Sheva. SHeva alikua ni completely Striker.
 
Ikiwi uliishi kwenye hizo zama basi huwezi zungumza upuuzi kama huo kama Henry alikua ni zaidi ya Sheva. SHeva alikua ni completely Striker.
Nimeanza kuangalia mpira since 90s unachoongelea wewe ni Historia, sababu mchezaji Zamani alikua mzuri basi Ashinde tu, badala ya kuongelea facts za msimu husika.
 
Messi hatakuwepo tena. Kilichotokea kimetokea na kimebaki kwenye historia. Tusubiri mambo mapya, damu mpya, burudani mpya, ushindani mpya. Ni wakati wa vipaji vipya kupigania nafasi zao bila wasiwasi wa vivuli vya messi na ronaldo.
 
Nimeanza kuangalia mpira since 90s unachoongelea wewe ni Historia, sababu mchezaji Zamani alikua mzuri basi Ashinde tu, badala ya kuongelea facts za msimu husika.

kwani Henry ni wa sasa? sisi tunazungumzia zamani
 
Mkuu, nahisi wewe utakuwa na chuki binafsi dhidi ya Beckham. Ama la, basi hukuwa mfuatiliaji mzuri wa mpira wa zama hizo.

Maana huwezi kuchukizwa na style ya nywele na uvaaji wa Beckham, ukasahau upambanaji wa huyu jamaa
Beckam namzidi 10 yrs.
 
Beckam namzidi 10 yrs.
Mimi sijauliza nani anamzidi mwenzake kati yako na Beckham. Nimeongelea kuhusu kufuatilia vizuri mpira kwa kipindi hicho.

Huenda ubishoo wake nje ya uwanja hukupendezwa nao hivyo ukaacha na kufuatilia vizuri takwimu zake katika michezo. Ila jamaa uwanjani alikuwa halembi.
 
Kwa hiyo nilimwangalia nikiwa naujua kabisa mpira. Anyway tuyaache huyo alikuwa anaujua sana kuliko hata akina Figo.
 
Kumbuka nae rivaldo mwaka mmoja nyuma alifika fainali ya kombe la dunia na timu yake taifa na mwaka huo 1999 alibeba copa America na timu yake ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…