Wachezaji waliostahili tuzo ya Balon d'or lakini hawakuwahi kuipata

Wachezaji hawa walistahili hii tuzo lakini nyakati hazikuwa sahihi kwao:

1. Thierry Henry
2. Steven Gerald
3. Didier Drogba
4. Samuel Etoo
5. Frank Lampard
6. Robert Lewandowski
7. Arjen Roben
8. Wesley Sneijder
9. Toni Kroos
10. Andrea Pirlo
Messi anapewa kabisa na kufidiwa muda wake atakapokuwa kastaafu!
 
Wachezaji hawa walistahili hii tuzo lakini nyakati hazikuwa sahihi kwao:

1. Thierry Henry
2. Steven Gerald
3. Didier Drogba
4. Samuel Etoo
5. Frank Lampard
6. Robert Lewandowski
7. Arjen Roben
8. Wesley Sneijder
9. Toni Kroos
10. Andrea Pirlo
Xaxi na lniesta!
 
Kumbuka nae rivaldo mwaka mmoja nyuma alifika fainali ya kombe la dunia na timu yake taifa na mwaka huo 1999 alibeba copa America na timu yake ya taifa.
Sikatai ila Kombe la dunia Baloon D or yake alibeba Zidane, Na UCL ni 2nd only to World cup.
 
Wachezaji hawa walistahili hii tuzo lakini nyakati hazikuwa sahihi kwao:

1. Thierry Henry
2. Steven Gerald
3. Didier Drogba
4. Samuel Etoo
5. Frank Lampard
6. Robert Lewandowski
7. Arjen Roben
8. Wesley Sneijder
9. Toni Kroos
10. Andrea Pirlo
Wana bahati mbaya walicheza nyaati za Messi na Ronado!
 
Mkuu, nahisi wewe utakuwa na chuki binafsi dhidi ya Beckham. Ama la, basi hukuwa mfuatiliaji mzuri wa mpira wa zama hizo.

Maana huwezi kuchukizwa na style ya nywele na uvaaji wa Beckham, ukasahau upambanaji wa huyu jamaa
Mimi mwenyewe pamoja nlikua siipendi Man U lakini Beckham ilibidi nmpende tu
 
Bila Xavi, Iniesta na Frank Ribery bado list yako ni fake
 
Mkuu umejenga hoja vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…