Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Elewa basi dhamira ya thread, wanawafananisha wachezaji ambao sio ndugu.Hata hapa wamekosea. Pogba anafanana sana na ndugu zake kuliko huyo jamaa
Ongeza za per martesacker10. Nacho Monreal & Peter Crouch
View attachment 2622780
Nacho anafanana sana na Crouch ingawa mmoja anatoka Hispania mwingine akitoka England.
Dogo?Labda Luca na huyo dogo...
Hawa duu wapime genes zao maybe ni ndugu12. Nathan Ake & Ruud GullitView attachment 2622787
Hawa wote ni wadachi, na kwa nyakati tofauti wamepita Chelsea.
hahaahahh as per picture ni mdogo
Duuuh sio kwa mfanano huu13. Joao Felix & Ricardo KakaView attachment 2622789
Huyo unaemwita dogo mwaka 1974 akiwa captain wa Uholanzi aliiingoza timu yake na kufungwa fainali na wenyeji wao iliyokuwa Ujerumani Magharibi katika Kombe la Dunia.hahaahahh as per picture ni mdogo
Elewa basi dhamira ya thread, wanawafananisha wachezaji ambao sio ndugu.
KudadekiKakolanya na Chama
TK na Zuwena
Onyango na Rudiger
Cancelo na Zuchu
SoC03 - Mfumo bora wa kodi ni chachu ya maendeleo kwa taifa piga kura tuendelee tulipoishia kwa Kagere na Nandy
Huku ndio kufanana sasa
Duniani wawili wawili
Hii sasa nongwa maalim wangu..Sijaona kufanana kokote huko