Wachezaji wanaofanana kwa sura lakini hawana undugu wowote

Wachezaji wanaofanana kwa sura lakini hawana undugu wowote

9. Kylian Mbappe & Dida
View attachment 2622778
Straika wa PSG na timu ya taifa ya Ufaransa, Mbapoe ana ufanano na golikipa wa zamani wa Brazil na Ac Milan Dida.

Mwaka 1998 Dida alikuwa Ufaransa na timu ya Taifa...yeye alikuwa kipa no 2 hakuweza kucheza ..Golikipa no 1 anaitwa Tafarel...akawa anazunguka zunguka Tu Ufaransa...miezi 9 baadae mwaka 1999 Mbappe akazaliwa.....
 
Mbappe naonaga kafanana Sana na Doc Rivers....kocha WA kikapu NBA..


Screenshot_2023-05-16-12-28-45-086_com.android.chrome.jpg
 
Back
Top Bottom