Wachezaji wanaofanana kwa sura lakini hawana undugu wowote

10 na 11 wamepatia ila hao wengine wamekosea
 
Hata hapa wamekosea. Pogba anafanana sana na ndugu zake kuliko huyo jamaa
Kufanana na ndugu zako haizuii kuto kufanana na wengine pia ambao sio ndugu zako!!
 
9. Kylian Mbappe & Dida
View attachment 2622778
Straika wa PSG na timu ya taifa ya Ufaransa, Mbapoe ana ufanano na golikipa wa zamani wa Brazil na Ac Milan Dida.

Mwaka 1998 Dida alikuwa Ufaransa na timu ya Taifa...yeye alikuwa kipa no 2 hakuweza kucheza ..Golikipa no 1 anaitwa Tafarel...akawa anazunguka zunguka Tu Ufaransa...miezi 9 baadae mwaka 1999 Mbappe akazaliwa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…