Wachezaji wanaolipwa pesa ndefu zaidi Ligi Kuu Tanzania Bara

Wachezaji wanaolipwa pesa ndefu zaidi Ligi Kuu Tanzania Bara

😂😂😂 hakuna mchezaji yeyote aliefika hata ml 25 hapa bongo acha story za vijiweni mleta mada kwanza unatuchukuliaje sisi 😡😡
 
Tuisila hana huruma kaamua kuweka '99 kabisa [emoji1] atafika mbali ana kitu
Sio 99 tu bali ameweka 20/desemba/1999 alikuwa anakusudia 2000[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]apewe ulinzi.

Ila yule jamaa wa ugàli shuga na milioni 4 yake aaaah weh aliona mbali sana,hivi wakikaa pamoja wanakuwa wanapiga story gani????[emoji23][emoji23][emoji23]huruma
 
50 mil per month kweli!!!!!!?

Hapa bongo nilijua mshahara mkubwa sana ni 14 mil

Ila kipaji kinalipa,ndo maana wamarekani weusi hawaendi shule
 
Hivyo viwango vya mishahara haviwezi kuwa sahihi hata kidogo, ina maana hao wanaozifadhili hivi vilabu wakiacha tu vilabu vinaburuzwa mahakamani kwa kushindwa kulipa mishahara.
 
Back
Top Bottom