mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Mkuu kwani huoni kazi ya Mayele??? Huo mshahara wanalipwa hao wazurulaji hauendani na output yao kiwanjani..Mtaweweseka sana.
Ndio maana Kuna Wana Yanga wamejitokeza kumpa ng'ombe Mayele kumbe mshahara wake hautoshi