mzee wa bwaksi JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 2,255 Reaction score 3,972 Sep 13, 2022 #21 Matola said: Mtaweweseka sana. Click to expand... Mkuu kwani huoni kazi ya Mayele??? Huo mshahara wanalipwa hao wazurulaji hauendani na output yao kiwanjani.. Ndio maana Kuna Wana Yanga wamejitokeza kumpa ng'ombe Mayele kumbe mshahara wake hautoshi
Matola said: Mtaweweseka sana. Click to expand... Mkuu kwani huoni kazi ya Mayele??? Huo mshahara wanalipwa hao wazurulaji hauendani na output yao kiwanjani.. Ndio maana Kuna Wana Yanga wamejitokeza kumpa ng'ombe Mayele kumbe mshahara wake hautoshi
Sexer JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 8,440 Reaction score 8,149 Sep 13, 2022 #22 Mbona mzungu analipwa kuliko makolo wote?!
F9T JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 2,677 Reaction score 4,959 Sep 13, 2022 #23 Sexer said: Mbona mzungu analipwa kuliko makolo wote?! Click to expand... πππ mdhungu anamzidi hadi kocha juma mgunda gadiola mnene
Sexer said: Mbona mzungu analipwa kuliko makolo wote?! Click to expand... πππ mdhungu anamzidi hadi kocha juma mgunda gadiola mnene
tony92 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,398 Reaction score 3,691 Sep 13, 2022 #24 Alafu binti kazumari anataka tuwakatae GSM Bila GSM hi mishahara tungeweza kulipa?