Tetesi: Wachezaji watano wa Simba wasimamishwa kupisha uchunguzi kwa kichapo kikali cha goli 5 kutoka kwa Yanga

Mnge anza na Tatu Malogo ndio kaleta yote haya, alikua anawafichia ugonjwa mmekutana na dokitari bingwa mmefanyiwa full body analysis
Upuuzi tuu wa kumsema Tatu..nyie mmebebwaaa na mibahasha yenu msimu ulopita...watu tukamyuti...
 
Moderators waniombe Radhi kwa kufuta Uzi wangu wa Juzi kuwa Inonga, Kapombe, Manula, Chama na Baleke Wameihujumu Simba SC na Kufungwa 5 kwa 1 na Yanga SC
 
Kwa Mpira WA Simba na Yanga sishangai Hilo kutokea rejea ya Shishimbi Yanga hivi vilabu vina mambo mengi Sana nyuma ya pazia
 
Moderators waniombe Radhi kwa kufuta Uzi wangu wa Juzi kuwa Inonga, Kapombe, Manula, Chama na Baleke Wameihujumu Simba SC na Kufungwa 5 kwa 1 na Yanga SC
Kama wamesimamishwa kweli na uliowataja ndo wahusika mods wanapaswa kukuomba radhi hadharani na kukupa heshima yako ya kuiinua JF kwa kuleta taarifa kabla ya habari rasmi.
 
Kama kuna kiongozi yoyote wa simba alikua anafikiri ataifunga yanga nayeye aondoke haraka.Kwani wakikubali kua yanga iko vizuri zaidi kuliko simba ili wapate nafasi yakujipanga upya watapungukiwa nini.Wanakimbilia kuwaza hujuma wakati mpira wenyewe unaonekana tulizidiwa kila mahali.Ata kama kuna hujuma na viongozi watakua wanahusika pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…