Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Maamuz matanogoli tano tarehe tano wachezaji watano ππ
Wamesajili wachezaji viwango vyao ni duniSisi watz ni wanafki sana, badala ya Simba kukubali Ukweli kuwa Yanga ni ya moto na viongozi wa Simba wameshindwa kazi ya kusajili eti wanaenda kutoa kafara wachezaji na kocha!
Huu ni uonevu viongozi ndio watoke wapishe uchunguzi! Kufukuza kocha na kusimamisha wachezaji ni lengo la viongozi kuficha ubovu wao!
Wachezaji wa Simba wamechoka na hawana uwezo wa kiakili kushindana na vijana wa Yanga kina Ki Aziz na Max Nzegeli , timu ya Simba ni Ile Ile kwa msimu wa tano Sasa. Hebu angalia Yanga mchezaji Gani Bado yumo kikosini kwa misimu mitano?
viongozi wa Simba watoke wao kwa kushindwa kazi na sio kutafuta kichaka Cha kujificha kwa kubambikia kesi wengine!
Na kama sio kweli basi ni wakati sasa wa viongozi wa Simba kuwa "serious" kwa kumtafuta aliyezusha halafu wamchukulie hatua kali sana za kisheria. Hili jambo sio dogo kabisa wasiliache lipite hivi hivi na liwe onyo kwa wengine wote wanaochezea "brand" yao.Hii habari si rasmi, ila tukiweka assumption kuwa ni rasmi basi Kama wameonewa watashtaki. Mambo si marahisi hivyo kuwa utoke tu huko usimamishe wachezaji na kuchafua taswira yao bila ushahidi. Wakisimamishwa halafu wakakubali na kukaa kimya kuna uwezekano ni kweli.
Mwandishi wa hii habari ni Prisca Kishamba, yule dada aliewahi kutukanagwa na Haji Manara mpaka media nyingi zikapigia kelele hilo jambo.Na kama sio kweli basi ni wakati sasa wa viongozi wa Simba kuwa "serious" kwa kumtafuta aliyezusha halafu wamchukulie hatua kali sana za kisheria. Hili jambo sio dogo kabisa wasiliache lipite hivi hivi na liwe onyo kwa wengine wote wanaochezea "brand" yao.
KweliNa kama sio kweli basi ni wakati sasa wa viongozi wa Simba kuwa "serious" kwa kumtafuta aliyezusha halafu wamchukulie hatua kali sana za kisheria. Hili jambo sio dogo kabisa wasiliache lipite hivi hivi na liwe onyo kwa wengine wote wanaochezea "brand" yao.
Hiyo haitoshi yanajirudia mara kwa mara. Simba ni "brand" kubwa sana Afrika na duniani kwa sasa na ina wadhamini wengi wemeweka pesa zao nyingi wakitegemea kupata faida kwenye biashara zao. Sasa watu wa namna hiyo wakiachwa waharibu "brand" ya watu halafu waachwe hivi hivi huku timu ikipata taharuki kwa wadhamini na kuharibu saikolojia ya wachezaji sio sahihi kabisa. Huyo ashtakiwe hata kama sio mahakamani basi hata kwenye baraza la habari ili iwe fundisho kwa waandishi wote wanaopenda kuzusha mambo hasa yanayozihusu timu hizi mbili kubwa Simba na Yanga bila kujua upuuzi wao ipo siku utaletya maafa.Mwandishi wa hii habari ni Prisca Kishamba, yule dada aliewahi kutukanagwa na Haji Manara mpaka media nyingi zikapigia kelele hilo jambo.
Since ni mtu anajulikana means rahisi tu kumuita na kumuuliza
We pimbi kweli...unafkiri kwa aina hyo ya utazamaji utajua match fixing..??Hebu tuache uswahili Tanzania!!
1. Chama anayetuhumiwa si ndo amepiga faulo ambayo ilizaa kona na baadae goli la simba?
2. Inonga amefanyaje?
3. Ukitazama magoli yote matano simba wanapokwa mipira/intercepted passes watu wanaenda kufunga