LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
MUOGOPE MUNGU:
USIMTAJE MCHEZAJI AMBAE BADO ANACHEZA ILI USIMSABABISHIE MAZINGIRA MAGUMU KWENYE AJIRA YAKE.
Wachezaji wa zamani walikuwa weledi Sana. Mchezaji wa simba hata Kama alikuwa shabiki wa Yanga Lia Lia lakini linapo kuja suala la kazi yake mchezaji huyo alipiga kazi kweli kweli . Vivyo hivyo na kwa upande wa pili mchezaji wa Yanga hata Kama alikuwa shabiki wa Simba Lia Lia lakini lilipokuja suala la kazi yake hakuwa na mchezo hata kidogo.
Sifa kuu ya wachezaji hao ilikuwa siku akicheza na timu anayo ishabikia ata upiga mwingi kuliko kawaida yake ili kuwaonyesha mashabiki kwamba yupo kikazi zaidi na sio kimahaba.
Hii ni baadhi ya wachezaji hao.
1. Mohamed Mwameja .... Shabiki Lia Lia wa Yanga.
2. George Masatu ...shabiki wa Yanga.
3. Duwa Saidi - Yanga Lia Lia
4. Thomas Kipese...... Simba Lia Lia
5. Athumani China ...Simba Lia Lia.
6. Godwin Mwansasu .... Simba Lia Lia .
Funguka na wewe wachezaji wa zamani unao wajua