Wachezaji wazamani wa Simba ambao walikuwa mashabiki wa Yanga na wachezaji wa zamani wa Yanga walio kuwa mashabiki wa Simba

bakari Malima jembe ulaya ……… makorokoroo lia lia
Edward chumilaa ………………. mwananchii
 
tangu wazaliwe Mohamed Mwameja na Paul Masautu hawajawai kuwa wana -yanga, aliye kuwa mwana yanga ni Hussein Masha ………. za mbayuawu changanya na zakwako.
 
tangu wazaliwe Mohamed Mwameja na Paul Masautu hawajawai kuwa wana -yanga, aliye kuwa mwana yanga ni Hussein Masha ………. za mbayuawu changanya na zakwako.
Mwameja ni Yanga Malima Yanga Masatu Yanga Dua Said Yanga nipo nao kwenye group moja la WhatsApp la Yanga na Mwameja ndio Admin
 
nikufahamishe tuu kuwa bakari malima tangu akiwa pan africa ya 'mutrazah dewji' tulikuwa tunacharuana na kubishana juu ya u-simba na u-yanga,
With due respect I beg to differ with you Malima amewahi hadi kutimuliwa Simba baada ya kushangilia goli la Yanga akiwa Simba
 
Mmethibitishaje unazi wao na hivo vilabu?
 
With due respect I beg to differ with you Malima amewahi hadi kutimuliwa Simba baada ya kushangilia goli la Yanga akiwa Simba
kwenye Maisha yoote ya kucheza mpira, Bakari Malima 'jembe ulaya' hajawai chezea / hamia / sajiliwa na simba …………..
 
kwenye Maisha yoote ya kucheza mpira, Bakari Malima 'jembe ulaya' hajawai chezea / hamia / sajiliwa na simba …………..
Ur less informed.
 
Juma Mkambi "Jenerali" alichezea Yanga maisha yake yote lakini Simba lialia.

Ezekiel Grayson "jujuman" Alichezea Yanga kwa mafanikio lakini usimba ulimfanya ahamie kwenye timu ya moyo wake Simba

Method Mogella. Alipata uzoefu kwenye kikosi cha Simba chini ya Abdallah Kibadeni, miaka ya mwisho ya 80 mpaka mwanzoni mwa 90.
Mapenzi makubwa kwa Yanga yalimfanya arudi nyumbani.

Joseph Katuba
Steven Nemes
Hamis Thobias Gaga.

Orodha ni ndefu
 
kwenye Maisha yoote ya kucheza mpira, Bakari Malima 'jembe ulaya' hajawai chezea / hamia / sajiliwa na simba …………..
Bakari Malima alichezea Simba
 
Nasikia na Zamoyoni alikuwa Yanga Lia Lia . Ila Steven Memes ni Yanga namfahamu vizuri Sana mtoto wa Bagamoyo
 
Mpira wa nchi wa ovyo simba na yanga zimekuwa kama uislamu na ukristo kwamba uwe upande fulani..
Binafsi nimezipa kisogo zote mbili
Haiwezekani acha kufanganya watu. Kama mtu wa mpira haiwezekani utadondokea tu upande mmoja bila kupenda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…