Wachezaji wazamani wa Simba ambao walikuwa mashabiki wa Yanga na wachezaji wa zamani wa Yanga walio kuwa mashabiki wa Simba

Mwameja ni Yanga Malima Yanga Masatu Yanga Dua Said Yanga nipo nao kwenye group moja la WhatsApp la Yanga na Mwameja ndio Admin
Wewe ni uto naona unataka kila mchezaji awe yanga..haya
Nakutajia ufurahi sasa
Mwameja, alfonce modest, steven nemes, deo mkuki, mustafa hoza, masatu, masha, ramadhan lenny, madaraka na idi selemani, chumila, malota soma, dua said, abdul machine, matola, kaseja, chuji, pawasa, batigo, etc hawa wote wananchi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umeamua kumrundikia wote afurahi yeye....kweli jamaa ni utopolo afu anajikuta anawafahamu kiundani magwiji wa soka wa kale
 
Kaseja yanga
Mgosi yanga
Matola yanga

Kuna mechi moja ya simba na yanga.. foward wa simba mgosi na kipa wa yanga kaseja... dah mgosi yeye na kaseja anapaisha tu .. angeweza piga hata hatrick siku ile
..
 
Kaseja yanga
Mgosi yanga
Matola yanga

Kuna mechi moja ya simba na yanga.. foward wa simba mgosi na kipa wa yanga kaseja... dah mgosi yeye na kaseja anapaisha tu .. angeweza piga hata hatrick siku ile
..
Mgosi na Kaseja najua ni Yanga but Matola sina uhakika
 
Umesusa we ni demu ama?
 
Steven Nemes Ni Yanga namjua vizuri Mtoto wa Bagamoyo Yule.

Zamoyoni pia alikuwa Yanga Lia Lia Yule.

Hapo Kwa Katuba Na Hamis Gaga hebu fafanua kidogo mkuu
 
Steven Nemes Ni Yanga namjua vizuri Mtoto wa Bagamoyo Yule.

Zamoyoni pia alikuwa Yanga Lia Lia Yule.

Hapo Kwa Katuba Na Hamis Gaga hebu fafanua kidogo mkuu
Steven Nemes ilisemekana ni mshabiki wa Yanga, aliondoka Red Star ya Kariakoo akahamia Majimaji, kisha akarudi Dar akajiunga na Yanga, baadaye akajiunga Simba, kisha Mtibwa.
Joseph Katuba ilisemekana ni mshabiki wa Simba lakini alichezea Yanga na baadaye akajiunga Simba.
Hamisi Thobias Gaga ni Simba lialia lakini baada kukorofishana na Simba kwa sababu za ulevi akajiunga na Yanga.
 
kwenye Maisha yoote ya kucheza mpira, Bakari Malima 'jembe ulaya' hajawai chezea / hamia / sajiliwa na simba …………..
Duh! Kweli we jamaa hakuna unachokijua. Malima baada ya kutoka South kama sikosei, ndiyo akasajiliwa Simba! Pole sana!
 
Hivi Makame bado yupo yanga? Mtoto simba lia lia yule ... hata huyu beki wa yanga namba tatu mzanzibari nae simba damu !..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…