barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kibwana shomari, mwamnyeto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amechezea yanga 1998 mpaka 2005 nafikiriHivi Ally Mayai maisha yake yote alikuwa Yanga ?
Mbona kila mhezaji unataka awe yanga? Fei ni simba damu inajulikana toka kwa vijana aliocheza nao zanzibarHatutaji wachezaji wanao cheza halafu fei Toto ni Yanga Lia Lia
Wewe ni uto naona unataka kila mchezaji awe yanga..hayaMwameja ni Yanga Malima Yanga Masatu Yanga Dua Said Yanga nipo nao kwenye group moja la WhatsApp la Yanga na Mwameja ndio Admin
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umeamua kumrundikia wote afurahi yeye....kweli jamaa ni utopolo afu anajikuta anawafahamu kiundani magwiji wa soka wa kaleWewe ni uto naona unataka kila mchezaji awe yanga..haya
Nakutajia ufurahi sasa
Mwameja, alfonce modest, steven nemes, deo mkuki, mustafa hoza, masatu, masha, ramadhan lenny, madaraka na idi selemani, chumila, malota soma, dua said, abdul machine, matola, kaseja, chuji, pawasa, batigo, etc hawa wote wananchi
Mbwana Samatta, James Kote, Emmanuel Okwi, Luis Miquissone, Cloutus Chota Chama hawa wote ni Mama J/Misukule/Utopolo lia liaMwameja ni Yanga Malima Yanga Masatu Yanga Dua Said Yanga nipo nao kwenye group moja la WhatsApp la Yanga na Mwameja ndio Admin
Mgosi na Kaseja najua ni Yanga but Matola sina uhakikaKaseja yanga
Mgosi yanga
Matola yanga
Kuna mechi moja ya simba na yanga.. foward wa simba mgosi na kipa wa yanga kaseja... dah mgosi yeye na kaseja anapaisha tu .. angeweza piga hata hatrick siku ile
..
Umesusa we ni demu ama?Wewe ni uto naona unataka kila mchezaji awe yanga..haya
Nakutajia ufurahi sasa
Mwameja, alfonce modest, steven nemes, deo mkuki, mustafa hoza, masatu, masha, ramadhan lenny, madaraka na idi selemani, chumila, malota soma, dua said, abdul machine, matola, kaseja, chuji, pawasa, batigo, etc hawa wote wananchi
Steven Nemes Ni Yanga namjua vizuri Mtoto wa Bagamoyo Yule.Juma Mkambi "Jenerali" alichezea Yanga maisha yake yote lakini Simba lialia.
Ezekiel Grayson "jujuman" Alichezea Yanga kwa mafanikio lakini usimba ulimfanya ahamie kwenye timu ya moyo wake Simba
Method Mogella. Alipata uzoefu kwenye kikosi cha Simba chini ya Abdallah Kibadeni, miaka ya mwisho ya 80 mpaka mwanzoni mwa 90.
Mapenzi makubwa kwa Yanga yalimfanya arudi nyumbani.
Joseph Katuba
Steven Nemes
Hamis Thobias Gaga.
Orodha ni ndefu
Steven Nemes ilisemekana ni mshabiki wa Yanga, aliondoka Red Star ya Kariakoo akahamia Majimaji, kisha akarudi Dar akajiunga na Yanga, baadaye akajiunga Simba, kisha Mtibwa.Steven Nemes Ni Yanga namjua vizuri Mtoto wa Bagamoyo Yule.
Zamoyoni pia alikuwa Yanga Lia Lia Yule.
Hapo Kwa Katuba Na Hamis Gaga hebu fafanua kidogo mkuu
Duh! Kweli we jamaa hakuna unachokijua. Malima baada ya kutoka South kama sikosei, ndiyo akasajiliwa Simba! Pole sana!kwenye Maisha yoote ya kucheza mpira, Bakari Malima 'jembe ulaya' hajawai chezea / hamia / sajiliwa na simba …………..