Acha ubishi.kwenye Maisha yoote ya kucheza mpira, Bakari Malima 'jembe ulaya' hajawai chezea / hamia / sajiliwa na simba …………..
Adeyum. Baada ya ile picha yake ya Simba B, kunamwamba kasema walicheza nae sana kigoma kushangilia 5-0.Hivi Makame bado yupo yanga? Mtoto simba lia lia yule ... hata huyu beki wa yanga namba tatu mzanzibari nae simba damu !..
Kipese alienda simba mwishoni sana..alieavuruga sana simba...Dua ndio alikuwa mwiba sana kwa Yanga.Dua Said na Thomas Kipese (uncle Tom) waiitesa Yanga sana, walikuwa wanafunga karibia kila gemu.
Na hizi timu zilivyokuwa nuksi hata uwe mwenyekiti yanga lkn mapenzi yako kama yapo kwa simba ikifungwa lazima uumie,, kama manara anvyoenda kuchekea chooni sasa iviMshindo Msolwa ni Simba Lia Lia ,Gharib wa GSM ni Simba Lia Lia ,Manji ni Simba Lia Lia ,baada ya kukosa nafasi Simba wakaenda kuongoza Yanga ,kuna muda nacheka kimya kimya tukiwa pale VP tunaangalia mpira,mechi ya Simba na Yanga waangalie namna wanavyoshangilia magori
Nilisikia kipindi cha Simba ile ya njaa Manara alimfata GSM kumshawishi asurpportMshindo Msolwa ni Simba Lia Lia ,Gharib wa GSM ni Simba Lia Lia ,Manji ni Simba Lia Lia ,baada ya kukosa nafasi Simba wakaenda kuongoza Yanga ,kuna muda nacheka kimya kimya tukiwa pale VP tunaangalia mpira,mechi ya Simba na Yanga waangalie namna wanavyoshangilia magori
1.Milambo Fc ya TaboraHivi Ally Mayai maisha yake yote alikuwa Yanga ?
Eeee lialia kabisa kabla hajaja yangaKaseke?
[emoji3][emoji3][emoji3]huwa anawacheka wakifungwaHaji Manara lia lia wa simba lakini domo limeajiriwa utopolo na anaupiga mwingi!! Akizidiwa anaenda kujificha chooni na kuwacheka utopolo original!!
Very interesting. Ila wachezaji wote wa kibongo ndoto zao huwaga Ni kuchezea Simba au Yanga Na wengine huwa wanajikuta wanapata mapenzi ya timu waliyo ichezea kutokana Na mafanikio watakayo yapata Na timu husika. Mfano Lunyamila inasemekana utotoni alikuwaga Simba Lia Lia but at the end of the day baada ya kuchezea Yanga akajikuta na yeye anahamia Yanga kimapenzi. Sasa hivi anajitanabaisha kama shabiki wa YangaNteze John Lungu nilisoma naye darasa na kucheza naye mpira timu ya darasa pale Mzimuni Primary School, Magomeni, alikuwa shabiki mkubwa wa Yanga, nilishangaa alipoenda kujiunga na Simba na kucheza kwa mafanikio Simba.
Vv
Mnavyoambiwa Yanga ni ",Timu ya wanachi" muwe mnaelewaMwameja yule golikipa aliyekuwa Tanzania one enzi hizo ni mshabiki wa Yanga? Dah watu wana siri.
Lazima wewe ni uto fc maana uandishi wako ni wa kujipa faraja.MUOGOPE MUNGU:
USIMTAJE MCHEZAJI AMBAE BADO ANACHEZA ILI USIMSABABISHIE MAZINGIRA MAGUMU KWENYE AJIRA YAKE.
Wachezaji wa zamani walikuwa weledi Sana. Mchezaji wa simba hata Kama alikuwa shabiki wa Yanga Lia Lia lakini linapo kuja suala la kazi yake mchezaji huyo alipiga kazi kweli kweli . Vivyo hivyo na kwa upande wa pili mchezaji wa Yanga hata Kama alikuwa shabiki wa Simba Lia Lia lakini lilipokuja suala la kazi yake hakuwa na mchezo hata kidogo.
Sifa kuu ya wachezaji hao ilikuwa siku akicheza na timu anayo ishabikia ata upiga mwingi kuliko kawaida yake ili kuwaonyesha mashabiki kwamba yupo kikazi zaidi na sio kimahaba.
Hii ni baadhi ya wachezaji hao.
1. Mohamed Mwameja .... Shabiki Lia Lia wa Yanga.
2. George Masatu ...shabiki wa Yanga.
3. Duwa Saidi - Yanga Lia Lia
4. Thomas Kipese...... Simba Lia Lia
5. Athumani China ...Simba Lia Lia.
6. Godwin Mwansasu .... Simba Lia Lia .
Funguka na wewe wachezaji wa zamani unao wajua