Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Acha ubishi.kwenye Maisha yoote ya kucheza mpira, Bakari Malima 'jembe ulaya' hajawai chezea / hamia / sajiliwa na simba …………..
Bakari Malima: Yanga Inaweza Kuifunga Simba
ZIKIWA zimesalia siku nne kabla ya kufikia siku ya mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga, beki wa kati wa zamani wa timu hizo, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya’, amesema kuwa licha ya Simba kufanya vizuri na kuwa na kikosi kizuri lakini wanatakiwa wasiw
Fungua hiyo link hapo usome.