Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumpe pia heshima yake ChamaKwenye ligi yetu vichwa ni Dickson Job,, Max, Aziz, Zouzua, Selemba, Nado & Dube hawa ndio players naona wanatumia akili sana na wamerelax uwanjani
Una zengwe wewe mremboBasi wale wavaa njano wanajiona na wao Mamelod kisa na wao wanavaa njano.... hahahaa yani wanajikuta wanaota....
Yupo vizuri Hata sub zake Zinaleta maana ya mchezo .Heshima pia Kwa COACH RULANI MOKWENA
Chama hapana bhana ana nusu ya akili ya AzizTumpe pia heshima yake Chama
Mzamiru anatumia AKILI?????Kwenye ligi yetu vichwa ni Dickson Job,, Max, Aziz, Zouzua, Selemba, Nado & Dube hawa ndio players naona wanatumia akili sana na wamerelax uwanjani
Sahihi kabisa.Mudau kawazidi wote hao. Yeye ni beki namba 2, Akiwekewa Watu tofauti tofauti kama wanne namba 11 za Ahly,akaishi nao
Mzamiru ni kiungo mwenye akili sana ila naona hatumika vizuri tu kutokana na timu aliyopo. Mzamiru ana utulivu mkubwa hasa kutokana na pressure ya eneo analocheza huwezi kutegemea mtu kuwa calm namna ile.Mzamiru anatumia AKILI?????
Sio inasemekana ni ukweli na ndiyo team ya mapenzi yake pale yupo kazini tuYupo vizuri Hata sub zake Zinaleta maana ya mchezo .
Alikuwa msaidizi wa Pitso wakati wanachukua ubingwa wa Afrika.
Alimtoa Mvala baada ya kuona amepata yellow kuogopa angepata red Kama mechi na Waangola.
Inasemekana familia yake wana umiliki wa Orlando pirates
Huyu bwana alifanya Kazi sana, winga wote wanne walipoteanaMudau kawazidi wote hao. Yeye ni beki namba 2, Akiwekewa Watu tofauti tofauti kama wanne namba 11 za Ahly,akaishi nao
Hakuangalia mpira uyoMudau kawazidi wote hao. Yeye ni beki namba 2, Akiwekewa Watu tofauti tofauti kama wanne namba 11 za Ahly,akaishi nao
WivuBasi wale wavaa njano wanajiona na wao Mamelod kisa na wao wanavaa njano.... hahahaa yani wanajikuta wanaota....
Huyu MWAMBA hukumuangaliaNajua wengi Jana tuliuangalia mpira wa Mamelody vs Al AHLY lakini ni wachache tulioangali Kwa jicho la tatu na kung'amua vipaji haswa katika kikosi kile.
1. Kuna beki mmoja wa kati kitasa haswa sura ya mama anaitwa GRANT KEKANA
Uyu bwana mdogo matumizi ya akili ni makubwa mno sawa na umchukue BACCA +INNONGA ndiyo unampata.
2. Kuna Jamaa niliezoea kumuona akicheza kama beki wa kati Jana alikuwa kiungo kutokana na kutokuwepo Kwa MOKOENA jamaa alifit na aliupiga mwingi Sana anaitwa AUBREIN MODIBA appreciation post yake hii ni anaajua kuamua mpira uchezwe Kwa speed gani Kwa sasa.
3. ALLIENDE kijana tutoka chille uyu Sina comment [emoji119]
HAO NDIYO NILIO WAONA NI ROHO YA TEAM KWA JANA.
Ila mwaka jana mlikua vzr sana..hebu tuone mwaka huu...Una zengwe wewe mrembo