Wachina huu sio ujanja

Wachina huu sio ujanja

Nchi hii tuna misitu miti yakila aina lakini toothpick tunatoa China mie hubaki nashangaa, sasa jipange useme uanzishe kiwanda mlolongo wake mpaka wakupe kibali uwiii [emoji24][emoji24][emoji24] unatembea mpaka mpaka kiatu kinasagika
 
Nyembe nenda shopparz plaza wana wembe gillette
IMG_20230619_224016.jpg
 
Kwa baadae unajikuta una Saratani
Nenda pharmacy au supermaket....nunua shaving cream, unapaka hapo kwapani na huko bondeni unatulia dakika tano, chukua kitamba chenye maji unafuta tu nywele zote chini kipara swafi kabisa
 
Back
Top Bottom