Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Anatumia sehemu sensitive umakini unaitajika.Mkuu,hadi kiwembe unazingatia brand 🙌🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatumia sehemu sensitive umakini unaitajika.Mkuu,hadi kiwembe unazingatia brand 🙌🙌
Hapa ulitaka kusemaje? Au ndo english ya kimandarinNchi hai product
Nenda pharmacy au supermaket....nunua shaving cream, unapaka hapo kwapani na huko bondeni unatulia dakika tano, chukua kitamba chenye maji unafuta tu nywele zote chini kipara swafi kabisa
Hivi hii hua ni kweli? Naweza pata picha ya cream husika na ilipopakwa?Nenda pharmacy au supermaket....nunua shaving cream, unapaka hapo kwapani na huko bondeni unatulia dakika tano, chukua kitamba chenye maji unafuta tu nywele zote chini kipara swafi kabisa
Kuna Waingeleza wanatoa vitu vizuri hatariZaidi ya mchina kwenye nyembe nani nani mwingine
Shida ni TBShuwa najiuliza sana
hivi kusambaa kwa bidhaa nyingi ambazo ni low quality au fake kabisaa shida ni wafanyabiashara kutaka faida kubwa au wanunuzi kupenda vya bei nafuu
naona hata zile simu feki zilizofungiwa miaka kadhaa nyuma zimeanza kurudi kwa kasi
Shopperz wana vitu adimu sanaNyembe nenda shopparz plaza wana wembe gilletteView attachment 2662635
Kwahiyo unadhani technologia ya kutengeneza sindano ni rahisi eeh?Nchi hai product hata sindano duuh nchi ngumu sana hii
yani nipake ubo wangu cream,labda nimelogwaNenda pharmacy au supermaket....nunua shaving cream, unapaka hapo kwapani na huko bondeni unatulia dakika tano, chukua kitamba chenye maji unafuta tu nywele zote chini kipara swafi kabisa
Yeye ndiye jirani sasa, wengine wote wanayasikia kwakeBado unanyolea viwembe? Ingia dukani nunua shaver, zipo Hadi za elfu 7, hapo wewe ni kuchaji tu na kutumia.....miwasho, mapele ya ndevu na maporomokoni utayasikia Kwa jirani.
Tatizo hazina spare. Nyembe zikiwa butu hupati mpya ya kureplaceBado unanyolea viwembe? Ingia dukani nunua shaver, zipo Hadi za elfu 7, hapo wewe ni kuchaji tu na kutumia.....miwasho, mapele ya ndevu na maporomokoni utayasikia Kwa jirani.
unamanisha taki tatu na pointZinapatikana wapi mkuu? Mlimani City shaver na groomer ya kueleweka ni kuanzia 380K
380,000 Tsh mkuu.unamanisha taki tatu na point