Wachina kujazana Marekani

Hivi unajijua kama unaongea pumba?
 
Upanga kuna wamarekani Weusi wengi tu, Asilimia 28 ya wa Marekani ni masikini pia.

Zipo Nchi za west ambazo zinaweza Kujitapa kwamba zimemaliza umasikini ila Marekani si moja wapo. Juu tu ya Marekani hapo canada wapo vizuri.

Hata Wazamiaji wengi wa Kibongo Marekani wanapita tu, Ndugu zangu wengi niliowaona wanaenda Marekani wakipata Uraia wanahamia Nchi nyengine kama Canada.

Nchi za Nordic kama Finland, Norway, Nchi kama Canada, Uswiss etc huko ndo watu wanaenda kula Maisha ya uhakika sio USA.
 
Huyo MK254 sio mzima muongo muongo sana hamna anachojua
 
Huyo sio dkt ni kijamaa kimoja ivi! [emoji16]
 
Dogo hujielewi, Drake amefanikiwa kuwa tajiri akiwa Marekani, kwanini hakubaki kwao Canada ili awe ale hizo bata?
 
Dogo hujielewi, Drake amefanikiwa kuwa tajiri akiwa Marekani, kwanini hakubaki kwao Canada ili awe ale hizo bata?
TOFAUTISHA kuwa Tajiri na Nchi Kuwa masikini, Marekani ina Mazingira mazuri kwa matajiri lakini vile vile Ina Mazingira mabaya kwa masikini.

Bado marekani wanaongelea mambo ya Bima za Afya kama Nchi Masikini ila nchi zenye Welfare nzuri kama nilizotaja juu mambo ya Elimu na Afya ni Bure.

Marekani Kuna Homeless zaidi Ya laki 5 wanaishi kwenye barabara na mahema

Hivyo Sababu Elon Musk ama Drake kakimbilia Usa haimaanishi wale masikini mtaani wanaishi vizuri.
 
Kwa hiyo unamaanisha China hali ni mbaya kuliko hapa Tanzania?

Tena kunao ukitishia kuwarudisha kwao China watalia sana, ile nchi yao kuna maeneo ni mateso tupu, Wachina na Wahindi wasiwe wanakubabaisha hapo Bongo, wengi wana hali mbaya sana kwao.
Hautakuta mtu yeyote ang'ang'ania kwenda kuishi India au China, wote duniani hata mliokaririshwa na dini zenu kuichukia Marekani huwa mnapambana sana kutafuta green card za Marekani.
 
Vipi Saudi Arabia.?

Kwanini Wachina hawataki kuishi huko Saudia ambako naskia kunaendeshwa kwa mujibu wa sheria za Dini ya Haki...?
Dini ya Adamu na Iburahimu.
 
Imepenya hiyo, hata wakuu wenu waarabu wengi hupatamani sana Marekani licha ya nyimbo zao za "Death to America and Israel"...
Pole mimi huwa sinaga udini kwenye mijadala hapa jf hata kama unafuatilia michango yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ