duh noti zetu au za kwao?
acha bana.....aiseeeee.......hiyo ni noumaaaa.......ebu waulize nikitaka pesa nitafanyaje......?
Nilikuwa site pamoja na wafanyakazi wenzangu katika kampuni moja ya kichina inayojishughulisha na ujenzi wa barabara.
Siku hiyo kulikuwa na shughuli inayo involve cement kuchanganywa na material fulani kwa umbali wa kama mita 500, hii shughuli ilikuwa inahitaji mifuko 248 ya cement.
Mifuko ikaletwa na kupangwa barabarani,ikachanwa ili kuchanganya na G15 material,mara bonge la wingu likafunga lilkiambatana na ngurumo za radi za kutisha.
Ilikuwa obvious kwamba ile mvua lazima ingedondoka na kutibua shughuli yote na hatimaye hasara ya mifuko yote.
Wachina wakaitana wakachukua noti za sh.50 na sh.100 za zamani za Tanzania pamoja na magamba ya kakakuona, kisha wakajikusanya na kuongea maneno machache tu ya kichina.
Huwezi amini, lile wingu lilipotea ghafla, anga likawa jeupe na mzigo ukapigwa ile kisawasawa,
Hawa watu ni wachawi ila uchawi wao una manufaa kwao.
Vimbwenelehi wamebaki kwenye imani za enzi za mawe wakati watu wanasonga mbele. Hadithi za kipumbavu namna hii mnawasimulia wanenu na kuwaharibu na imani za kishirikina tangu wakiwa wadogo.
ha ha ha mchaga utamjua tuu,lol katambike mbusi,mbegeacha bana.....aiseeeee.......hiyo ni noumaaaa.......ebu waulize nikitaka pesa nitafanyaje......?
Ukitaka pesa bidii na kumwomba Mungu saaaana
Nilikuwa site pamoja na wafanyakazi wenzangu katika kampuni moja ya kichina inayojishughulisha na ujenzi wa barabara.
Siku hiyo kulikuwa na shughuli inayo involve cement kuchanganywa na material fulani kwa umbali wa kama mita 500, hii shughuli ilikuwa inahitaji mifuko 248 ya cement.
Mifuko ikaletwa na kupangwa barabarani,ikachanwa ili kuchanganya na G15 material,mara bonge la wingu likafunga lilkiambatana na ngurumo za radi za kutisha.
Ilikuwa obvious kwamba ile mvua lazima ingedondoka na kutibua shughuli yote na hatimaye hasara ya mifuko yote.
Wachina wakaitana wakachukua noti za sh.50 na sh.100 za zamani za Tanzania pamoja na magamba ya kakakuona, kisha wakajikusanya na kuongea maneno machache tu ya kichina.
Huwezi amini, lile wingu lilipotea ghafla, anga likawa jeupe na mzigo ukapigwa ile kisawasawa,
Hawa watu ni wachawi ila uchawi wao una manufaa kwao.
acha bana.....aiseeeee.......hiyo ni noumaaaa.......ebu waulize nikitaka pesa nitafanyaje......?
i see hii kaliUchawi wa maendeleo. Siyo wa kibongo bongo wa kujambiana midomoni usiku. Ukienda kwenye interview unanuka mdomo kama tundu la choo.
Yethu na maria aithee. Wachaga kuiona mbigu ni thawa na ngamia kupenya tundu la sindanoacha bana.....aiseeeee.......hiyo ni noumaaaa.......ebu waulize nikitaka pesa nitafanyaje......?