Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,910
- 445
Ile mvua ya kutengeneza iliishia wapi?
acha bana.....aiseeeee.......hiyo ni noumaaaa.......ebu waulize nikitaka pesa nitafanyaje......?
kuna story nimesikia mtaani hawa strabag wamezuia mvua naweza kuamini hawa jamaa (wachina) sio
sent from my blackberry 9300 using jamiiforums
Inachekesha...hii stori noma kweliNilikuwa site pamoja na wafanyakazi wenzangu katika kampuni moja ya kichina inayojishughulisha na ujenzi wa barabara.
Siku hiyo kulikuwa na shughuli inayo involve cement kuchanganywa na material fulani kwa umbali wa kama mita 500, hii shughuli ilikuwa inahitaji mifuko 248 ya cement.
Mifuko ikaletwa na kupangwa barabarani,ikachanwa ili kuchanganya na G15 material,mara bonge la wingu likafunga lilkiambatana na ngurumo za radi za kutisha.
Ilikuwa obvious kwamba ile mvua lazima ingedondoka na kutibua shughuli yote na hatimaye hasara ya mifuko yote.
Wachina wakaitana wakachukua noti za sh.50 na sh.100 za zamani za Tanzania pamoja na magamba ya kakakuona, kisha wakajikusanya na kuongea maneno machache tu ya kichina.
Huwezi amini, lile wingu lilipotea ghafla, anga likawa jeupe na mzigo ukapigwa ile kisawasawa,
Hawa watu ni wachawi ila uchawi wao una manufaa kwao.
kwani strabag wachina?
Uchawi wa maendeleo. Siyo wa kibongo bongo wa kujambiana midomoni usiku. Ukienda kwenye interview unanuka mdomo kama tundu la choo.
Ile mvua ya kutengeneza iliishia wapi?
kweli hii ni Jf. hata kama una stress zitaisha
Uchawi wa maendeleo. Siyo wa kibongo bongo wa kujambiana midomoni usiku. Ukienda kwenye interview unanuka mdomo kama tundu la choo.
nilikuwa site pamoja na wafanyakazi wenzangu katika kampuni moja ya kichina inayojishughulisha na ujenzi wa barabara. Siku hiyo kulikuwa na shughuli inayo involve cement kuchanganywa na material fulani kwa umbali wa kama mita 500, hii shughuli ilikuwa inahitaji mifuko 248 ya cement. Mifuko ikaletwa na kupangwa barabarani,ikachanwa ili kuchanganya na g15 material,mara bonge la wingu likafunga lilkiambatana na ngurumo za radi za kutisha. Ilikuwa obvious kwamba ile mvua lazima ingedondoka na kutibua shughuli yote na hatimaye hasara ya mifuko yote. Wachina wakaitana wakachukua noti za sh.50 na sh.100 za zamani za tanzania pamoja na magamba ya kakakuona, kisha wakajikusanya na kuongea maneno machache tu ya kichina. Huwezi amini, lile wingu lilipotea ghafla, anga likawa jeupe na mzigo ukapigwa ile kisawasawa, hawa watu ni wachawi ila uchawi wao una manufaa kwao.
Nope,ni Germans!kwani strabag wachina?
Kutengeneza mvua wanaweza. Hata mzee Lowassa alienda mitaa hiyo kwenda kuomba wataalamu wa kutengeneza mvua kipindi cha nyuma!mvua ikapotea siyo, nao wanatengeza mvua, au hiyo hawawezi?