The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Chadema wanahusikaje hapa mamaaWachina ni kama chadema tu kwa ujanja ujanja usio na tija.
Wazee wa kugandamizia.. Mmarekani anamgwaya kwenye hiyo fani[emoji23]wakali wa hizi kazi...macho madogo
Kwakweli K Vant ya siku hizi imekuwa ikilalamikiwa sana kuwa imepoteza ubora. Kumbe ni hawa WAWEKEZAJI wanafyatua za kwaoHawa watu tukiwaendekeza watatuua! Juzi kuna dada kasimulia jinsi alivyoendesha baada ya kunywa K Vant fake hana hamu tena na K vant yoyote. Hawa wajinga wataharibu afya za watu na biashara ya K vant halisi maana watu watazikwepa.
Vina kazi gani man? Ushapata jibu?Nimestushwa zaidi na hiyo paint roller na rangi kwenye beseni, sijui vina kazi gani
Hawa wapuuzi ethics hawana kabisa,wazungu Wana mapungufu yao lkn hawawezi kua na upuuzi huu Kama wa wachina.Hawa watu tukiwaendekeza watatuua! Juzi kuna dada kasimulia jinsi alivyoendesha baada ya kunywa K Vant fake hana hamu tena na K vant yoyote. Hawa wajinga wataharibu afya za watu na biashara ya K vant halisi maana watu watazikwepa.
Lakini kwao hawawezi fanya Ujinga huo, maana watanyongwa hadharani mchana kweupe!!Basi utasikia wameshtakiwa,na kulipa faini wanarudi kitaani..hawa ni wauaji ni kuwafukuza kabisa nchini.