Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

Hawa watu tukiwaendekeza watatuua! Juzi kuna dada kasimulia jinsi alivyoendesha baada ya kunywa K Vant fake hana hamu tena na K vant yoyote. Hawa wajinga wataharibu afya za watu na biashara ya K vant halisi maana watu watazikwepa.

siku hizi magonjwa ya Figo na Ini yamekuwa mengi sana, nafikiri hii inaweza kuwa sababu pia..
 
Fake au bila kibali?

Hapo hata ikiwa original umeenda kinyume na biashara.unapocopy biashara ya mwenzako yaani unapoitengeneza vile vile kuna taratibu maalum.Hawa cha kwanza watakuwa na mashitaka mawili.la kwanza la kutengeneza hizo kitu bila kibali hili ni serikali italishughulikia.la pili kampuni ambayo italeta mashitaka ni hiyo ya kuhujumiwa bidhaa zake watawashitaki hawa wameenda kinyume na taratibu za biashara.hii itawagharimu hawa wachina na kampuni yao.ila ina nabidi uwe na mwanasheria mzuri sana vinginevyo utapigwa chini.Na hili huenda wamefanikiwa baada ya kumpata mtu wa karibu anayehusika na udhalishaji na ndani ya hiyo kampuni kawapa baadhi ya vitendea kazi yaani siri ya kiwanda.
 
Hizi pombe kali hazifai nyingi hazifai tena sjui kwa vile vinafyatuliwa feki!!! Juzi nimestop pombe kama miezi 2 hivi coz nlikunywa nikapoteza kumbukumbu kabisa hadi home nikapasahau,sa hiyo ni pombe au sumu.hao wachina wapewe adhabu kali
 
Hapo hata ikiwa original umeenda kinyume na biashara.unapocopy biashara ya mwenzako yaani unapoitengeneza vile vile kuna taratibu maalum.Hawa cha kwanza watakuwa na mashitaka mawili.la kwanza la kutengeneza hizo kitu bila kibali hili ni serikali italishughulikia.la pili kampuni ambayo italeta mashitaka ni hiyo ya kuhujumiwa bidhaa zake watawashitaki hawa wameenda kinyume na taratibu za biashara.hii itawagharimu hawa wachina na kampuni yao.ila ina nabidi uwe na mwanasheria mzuri sana vinginevyo utapigwa chini.Na hili huenda wamefanikiwa baada ya kumpata mtu wa karibu anayehusika na udhalishaji na ndani ya hiyo kampuni kawapa baadhi ya vitendea kazi yaani siri ya kiwanda.
K-Vant yenyewe inamilikiwa na Mchaga Baba Nancy,wachina watajua hawajui.
 
Hawa watu tukiwaendekeza watatuua! Juzi kuna dada kasimulia jinsi alivyoendesha baada ya kunywa K Vant fake hana hamu tena na K vant yoyote. Hawa wajinga wataharibu afya za watu na biashara ya K vant halisi maana watu watazikwepa.
Jamani!!!, hatari sana,wafukuzwe nchini mwetu.
 
Back
Top Bottom