Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Kama ni mla K Vant na Moet, basi hii ni kwa ajili yako. Yasemekana hao mabwana kutoka Asia ya Mashariki wamekamatwa jijini Dar wakiwa kwenye ‘karakana’ yao la kufyatua kopi za vinywaji hivi murua.

Hivi huwa wanapataje vifungashio visivyotia shaka?

Kwa uchafu wa hayo madumu, huenda yanahifadhia molasses. Na kama ndivyo, ningependezwa kuona mtambo wao na mchakato wa kukopi ladha na harufu za hivi vinywaji. Bado nabaki na maswali kedekede.

Nimestushwa zaidi na hiyo paint roller na rangi kwenye beseni, sijui vina kazi gani Mungu wangu!

Mchina 1.jpg
Mchina 2.jpg
Mchina 3.jpg
Mchina 4.jpg
 
Hawa watu tukiwaendekeza watatuua! Juzi kuna dada kasimulia jinsi alivyoendesha baada ya kunywa K Vant fake hana hamu tena na K vant yoyote. Hawa wajinga wataharibu afya za watu na biashara ya K vant halisi maana watu watazikwepa.
 
Kwakweli K Vant ya siku hizi imekuwa ikilalamikiwa sana kuwa imepoteza ubora. Kumbe ni hawa WAWEKEZAJI wanafyatua za kwao
 
Hawa watu tukiwaendekeza watatuua! Juzi kuna dada kasimulia jinsi alivyoendesha baada ya kunywa K Vant fake hana hamu tena na K vant yoyote. Hawa wajinga wataharibu afya za watu na biashara ya K vant halisi maana watu watazikwepa.
Hawa wapuuzi ethics hawana kabisa,wazungu Wana mapungufu yao lkn hawawezi kua na upuuzi huu Kama wa wachina.
 
Back
Top Bottom