Wachina wanasubiri Rais Magufuli aondoke kwenye bandari

Wachina wanasubiri Rais Magufuli aondoke kwenye bandari

Tanga ipo, Mtwara ipo,why Bagamoyo? Why zisiboreshwe hizo?
Mkuu yuko kaburini lakini nguvu zake hakuna wa kuweza kupambana nazo!! Ameondoka akiwa ametufungua sana macho!! Hata wanaotumia nguvu nyingi kujaribu kutuingizia hofu ya wimbi la kufikirika la tatu la corona wamegonga mwamba!! JPM umeacha ukiwa umemaliza kazi yako vizuri sana na Tanzania tuko salama!!! Wanaoendeleza wimbo wa wimbi la tatu endeleeni salama na Mungu "awabariki"
 
Natoa Pongezi zangu za dhati kwa Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kuiuza Bandari kwa Wawekezaji kutoka huko Uchina

Tunamuomba iwe ni Dili ya WinWin na asaisahau Tume HURU ya Uchaguzi
 
Mradi wa bandari ya bagamoyo ambao ulikuwa mbaya sana haujafutwa kwa ujumla wake. Kuna watu wengi serikalini wamekaa mkao wa kula wakisubiri Magufuli aondoke ili warudishe mradi kwa manufaa yao binafsi. Kuna watu wengi sana walikuwa wameshawekwa mfukoni.

China watahakikisha wanatumia kila namna kujenga bandari na sio kwa manufaa ya Tanzania lakini ni kwa manufaa yao ya kumiliki bandari muhimu zote Duniani hasa kwenye bahari ya Hindi. Hivyo nia yao sio kutoa mkopo bali ni kumiliki bandari Tanzania. Kwa sasa wanatumia Chama cha Mapinduzi kwa kupitia huko kwa kisingizio cha uhusiano wa Chama lakini wanataka wawaweke sawa hawa viongozi wa ndani ya chama na watu wote wanaomzunguka Magufuli ili iwe rahisi kumchagua mtu wao urais ujao.

Kama Magufuli anataka kweli kuuwa huu mradi ni kugawa ile sehemu kwa wawekezaji wa viwanda, kusema kwa uwazi wote mradi umekufa. Hata kama wakibadilisha maneneo kwenye mkataba wanaweza kuja kuhonga baadae na kubandika maneneo mengine kwenye mkataba.

Kikubwa ni kwamba nia ya China ni kuhakikisha DRC na Zambia vitu vyao wana control kuanzia vinakotoka mpaka China bila kuhojiwa wala kuulizwa. Huu ni kama ukoloni na tusikubali huu mkataba hata kama wakisema mkataba unabadilishwa. Lakini kingine hii bandari haina umuhimu tayari tuna bandari za kutosha.

Is Sri Lanka Really a Victim of China’s ‘Debt Trap’?
Kumbukumbu za awali zaonekana, mradi huu ulitiwa saini ya awali 2013, nini kilifanya uwekezaji haukufanyika mpaka October 2015 wakati JK anatoka madarakani?

Nadhani kama tungewekeza kwenye kujiuliza kwanini tulichelewa kuanza, kulikuwa na nini huko ndani.

EL kama angekuwa Rais alikusudia kuvunja, Urais aliupata JPM nae hakuamua kuendelea na Wachina, kuna nini humo ndani?

Kwanini focus isiwe kwenye upanuzi wa Tanga na Mtwara kuisaidia Dar port ili tuwe na bandari 3 zenye kufanya kazi kwa umahiri.

Well, Rais wa nchi ni mtu ila anaongoza taasisi yenye nguvu kubwa na ushawishi mkubwa. Akiamua kusonga mbele na mradi huu bila shaka utaendelea.
Ila kuna masuala ya msingi sana ya kujiuliza kwenye ujenzi wa SGR ya umeme na baadae kama Bagamoyo port itajengwa, je, Tanzania inajiandaa kwa ujumla ili tuwe na trade surplus kwenye exports au tunabaki kuwa na bandari yenye trade deficits?

Maombi yangu kwa Mungu, tuwe na trade surplus. Moja ya eneo ambalo Tanzania ina competitive advantage ni kuongeza uzalishaji kwa kuingia kwenye kilimo-biashara.
 
Watasubiri sana!
Mkuu wamesubiri kidogo tu hayat sikumkubali kabisa kwa hili niliungana naye

Tuna bandar za

Mtwara

Tanga

Dsm

Umbal kutoka dsm had bagamoyo n kidogo Sana kwann tusiziimarishe hizi tulizonazo ?

Wachambuzi mnifafanulie faida ya hi bandari ambayo bandar ya dsm haiwezi toa faida hyo?
 
Huu mradi naona kama vile umekufa kwa sura ya nje ila ndan bado unaendelea kama kawaida sababu bagamoyo sasaiv naona wamejenga ma godaun ya kufa mtu Sasa sijui hayo magodaun ni ya nn kama sio io Bandar
Uliona mbali mkuu
 
Mradi wa bandari ya bagamoyo ambao ulikuwa mbaya sana haujafutwa kwa ujumla wake. Kuna watu wengi serikalini wamekaa mkao wa kula wakisubiri Magufuli aondoke ili warudishe mradi kwa manufaa yao binafsi. Kuna watu wengi sana walikuwa wameshawekwa mfukoni.

China watahakikisha wanatumia kila namna kujenga bandari na sio kwa manufaa ya Tanzania lakini ni kwa manufaa yao ya kumiliki bandari muhimu zote Duniani hasa kwenye bahari ya Hindi. Hivyo nia yao sio kutoa mkopo bali ni kumiliki bandari Tanzania. Kwa sasa wanatumia Chama cha Mapinduzi kwa kupitia huko kwa kisingizio cha uhusiano wa Chama lakini wanataka wawaweke sawa hawa viongozi wa ndani ya chama na watu wote wanaomzunguka Magufuli ili iwe rahisi kumchagua mtu wao urais ujao.

Kama Magufuli anataka kweli kuuwa huu mradi ni kugawa ile sehemu kwa wawekezaji wa viwanda, kusema kwa uwazi wote mradi umekufa. Hata kama wakibadilisha maneneo kwenye mkataba wanaweza kuja kuhonga baadae na kubandika maneneo mengine kwenye mkataba.

Kikubwa ni kwamba nia ya China ni kuhakikisha DRC na Zambia vitu vyao wana control kuanzia vinakotoka mpaka China bila kuhojiwa wala kuulizwa. Huu ni kama ukoloni na tusikubali huu mkataba hata kama wakisema mkataba unabadilishwa. Lakini kingine hii bandari haina umuhimu tayari tuna bandari za kutosha.

Is Sri Lanka Really a Victim of China’s ‘Debt Trap’?
Umeamini ule msemo usemao "Kikulacho Kinguoni mwako" Bandari hiyo inamilikishwa hao Wachina muda si mrefu. Cha kushangaza mpaka Ndugai alikiri kwamba aliyekuwa Rais wa wakati eti alipotoshwa!

Ccm ni shida tupu! Gesi yetu wameigawa, madini wameyagawa! Mbuga za Wanyama wamegawa, ardhi wanagawa! Viwanda wamegawa! Mabenki wamegawa!

Bado na sisi muda si mrefu watatuuza kwa Mabeberu au Waarab! Huku tukiwa tunawaangalia tu.
 
Sasa yatupasa kubadilika CCM haitufai.
Tuikatae kwa Nguvu. Na suluhisho ni Katiba mpya tu. Tunazika CCM 😊 kama walivyo mzika Mwendazake.
 
Back
Top Bottom