Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bandari sio Jambo Baya, tatizo la bagamoyo ni masharti ya mradi, China wanataka kumiliki sehemu hii muhimu ya nchi yetu Kwa muda wa miaka 100 na isitoshe hawataki Bandari yeyote Ile nyingine ijengwe au kuendelezwa..mkataba umejaa Nia ovu mwanzo mwisho,ni Zaid ya ukoloni.Bandari nyingi uchochea uchumi,ujui ya bagamoyo itahudumia kaskazini,na Kanda ya ziwa,plus nchi jirani
Unawanyima raia uhuru wa mkifungua kesi kwa maslahi ya wengi.Magufuli akitaka afanikiwe jambo hili, asilifanye kutafuta kiki ya kisiasa, kama hulka yake ilivyo. Nasema hivyo kwa sababu, rasilimali huwezi kuzilinda hivi hivi, kama hauna demokrasia ya kweli kweli katika jamii unayoiongoza.
Vinginevyo na yeye atataka aone maslahi yake; na akiua upinzani tu tumekwisha. Kuna miradi sugu ni sumu kwenye hivi vi nchi vyetu ndani ya bara la afrika.
Sijaona kiongozi wa kupambana na mabeberu, in Tanzania bado hatujapata brave and smart leader mpaka sasa, waliopo hawayatazami matatizo yetu serious.
YametimiaMradi wa bandari ya bagamoyo ambao ulikuwa mbaya sana haujafutwa kwa ujumla wake. Kuna watu wengi serikalini wamekaa mkao wa kula wakisubiri Magufuli aondoke ili warudishe mradi kwa manufaa yao binafsi. Kuna watu wengi sana walikuwa wameshawekwa mfukoni.
China watahakikisha wanatumia kila namna kujenga bandari na sio kwa manufaa ya Tanzania lakini ni kwa manufaa yao ya kumiliki bandari muhimu zote Duniani hasa kwenye bahari ya Hindi. Hivyo nia yao sio kutoa mkopo bali ni kumiliki bandari Tanzania. Kwa sasa wanatumia Chama cha Mapinduzi kwa kupitia huko kwa kisingizio cha uhusiano wa Chama lakini wanataka wawaweke sawa hawa viongozi wa ndani ya chama na watu wote wanaomzunguka Magufuli ili iwe rahisi kumchagua mtu wao urais ujao.
Kama Magufuli anataka kweli kuuwa huu mradi ni kugawa ile sehemu kwa wawekezaji wa viwanda, kusema kwa uwazi wote mradi umekufa. Hata kama wakibadilisha maneneo kwenye mkataba wanaweza kuja kuhonga baadae na kubandika maneneo mengine kwenye mkataba.
Kikubwa ni kwamba nia ya China ni kuhakikisha DRC na Zambia vitu vyao wana control kuanzia vinakotoka mpaka China bila kuhojiwa wala kuulizwa. Huu ni kama ukoloni na tusikubali huu mkataba hata kama wakisema mkataba unabadilishwa. Lakini kingine hii bandari haina umuhimu tayari tuna bandari za kutosha.
Is Sri Lanka Really a Victim of China’s ‘Debt Trap’?
Hivi Mama samia hana akaunti huku nimtag???Mradi wa bandari ya bagamoyo ambao ulikuwa mbaya sana haujafutwa kwa ujumla wake. Kuna watu wengi serikalini wamekaa mkao wa kula wakisubiri Magufuli aondoke ili warudishe mradi kwa manufaa yao binafsi. Kuna watu wengi sana walikuwa wameshawekwa mfukoni.
China watahakikisha wanatumia kila namna kujenga bandari na sio kwa manufaa ya Tanzania lakini ni kwa manufaa yao ya kumiliki bandari muhimu zote Duniani hasa kwenye bahari ya Hindi. Hivyo nia yao sio kutoa mkopo bali ni kumiliki bandari Tanzania. Kwa sasa wanatumia Chama cha Mapinduzi kwa kupitia huko kwa kisingizio cha uhusiano wa Chama lakini wanataka wawaweke sawa hawa viongozi wa ndani ya chama na watu wote wanaomzunguka Magufuli ili iwe rahisi kumchagua mtu wao urais ujao.
Kama Magufuli anataka kweli kuuwa huu mradi ni kugawa ile sehemu kwa wawekezaji wa viwanda, kusema kwa uwazi wote mradi umekufa. Hata kama wakibadilisha maneneo kwenye mkataba wanaweza kuja kuhonga baadae na kubandika maneneo mengine kwenye mkataba.
Kikubwa ni kwamba nia ya China ni kuhakikisha DRC na Zambia vitu vyao wana control kuanzia vinakotoka mpaka China bila kuhojiwa wala kuulizwa. Huu ni kama ukoloni na tusikubali huu mkataba hata kama wakisema mkataba unabadilishwa. Lakini kingine hii bandari haina umuhimu tayari tuna bandari za kutosha.
Is Sri Lanka Really a Victim of China’s ‘Debt Trap’?
Halafu jamaa anahimiza kwa nguvu kabisa mradi uendelee...hapi hatuna spika kwakweliDaah kuna manabii humu, mwishowe yametimia, bandari ya bagamoyo inakwenda kujengwa na wachina sasa. Hii nchi imelogwa tunarudi kulekule!!Nchi ya wanafiki akina ndugai wepesi wa kusahau nashangaa kwa nini hili jamaa walilichagua kuwa spika, ni zero brain kweli
Ndugu yangu watanzania wengi hawana uwezo wa kuona mambo kwa upana wake,Daah kuna manabii humu, mwishowe yametimia, bandari ya bagamoyo inakwenda kujengwa na wachina sasa. Hii nchi imelogwa tunarudi kulekule!!Nchi ya wanafiki akina ndugai wepesi wa kusahau nashangaa kwa nini hili jamaa walilichagua kuwa spika, ni zero brain kweli
Hao wazee wanajua watafaidika saivi ila wanasahau kuwa wajukuu zao ndo watakaoona motoNdugu yangu watanzania wengi hawana uwezo wa kuona mambo kwa upana wake,
Nasikitika kuona wanakimbilia miradi kama hii
Mkuu tuombe Mungu tu Mama ashtuke kama bado hajashtuka,,au atokee mwenye akili timamu pale karibu yake amtonyeNdugu yangu watanzania wengi hawana uwezo wa kuona mambo kwa upana wake,
Nasikitika kuona wanakimbilia miradi kama hii
Kwanini magu hakuufutia mbali kama kweli alikua na nia njema? Au hakua rais?Hivi Mama samia hana akaunti huku nimtag???
Hii matter ya muhimu sana,hapa nakumbuka Faza alipenda sana kutuambia sio kila mtu anatupenda, asa tukijifanya tunapenda sana kupewa pewa tutaliza wajukuu na vitukuu huko mbele wakati huo hao machainizi ambao tunaaminishwa kuwa ni marafiki zetu tangu uhuru watakuwa wanakula bata tu
Huyu mzee alikuwa wa kuongea sana action zero, ndo maana pamoja na vitisho vyake watu bado wamejipigia hela sana tu,CAG kaonesha yoteKwanini magu hakuufutia mbali kama kweli alikua na nia njema? Au hakua rais?
Mkuu hapa naona tunarudi kwenye zila Bogus treaty,na wanaoenda kusaini ndo hao wasomi wetu, na wanaoshabikia akina NdugaiKwanini magu hakuufutia mbali kama kweli alikua na nia njema? Au hakua rais?
Mkuu hapa naona tunarudi kwenye zila Bogus treaty,lakini watakaosaini ndo hao wasomi wetu, na wanaoshabikia akina Ndugai shenzi zaoKwanini magu hakuufutia mbali kama kweli alikua na nia njema? Au hakua rais?
Nikuunge mkonoDuhh...
Naanza kuwaza mambo ya ajabu kabisa....
May be...just may be.. The X didn't die a natural death...
Damn it this country.