Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Watanzania ujuaji utatuponza mkali kaondoka sasa wanakuja watu wa fursa na ruhusa madarakani, tumeanza na kuondoa kodi kwa kigezo eti tutumie akili kukusanya kodi ajabu sana.
Siku si nyingi mradi wa bwawa la umeme mwl nyerere nalo litazuiwa kujengwa hoja itakuja ile ile yakuharibu mazingira huko mana mfano tumesha uona tayari kwenye stend ya Magufuli kule mbezi CAG anasema ni chanzo cha foleni .
Anyway, twendeni tu tutajua huko baadae akili zikikaa sawa tukiamka usingizini tutaelewa kuwa ni nani alikuwa na nia njema na nchi hii.
Tunapiga hatua mbili mbele kisha tunarudi nyuma hatua nane.